nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,818
- 7,106
Hakuna kitu kinaitwa shetani wala mungu. Nyie mnatumia kigezo cha shetani kuamini mungu yupo. Ndio maana nimekuuliza kwa imani yako na pia yakubidi wewe popote ulipo uendelee kujiuliza. "uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu? " ukiweza kunijibu basi utakua na sababu ya kunishawishi nianze kuamini uwepo wa mungu. Kinyume cha hapo msidanganye vizazi vijavyo maana imani ya kimungu ni moja kati ya sababu za watu kuwa masikiniNAKUJIBU KWA SWALI. unaamini shetani yupo ila Mungu hayupo?