Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,641
11,956
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.

Nanukuu

"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"

Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.

Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
 
Beberu tu? Mimi ukiweka mbwa nimpigie kura leo jiwe atoke nitampa mbwa. Jitu limejifungia linasema hamna korona huku lenyewe ukiliambia litoke lisimame mbele ya watu haliwezi 😂 unasikia tu chapeni kazi, mara kaanza kuwalaumu na viongozi wa dini kufunga makanisa.

Kama ye mbabe asikae anaitisha waandishi wa habari wanakaa mbali, ajichanganye na watu kama zamani tuone kua kweli haamini uwepo wa hii kitu.

Kelele nyingi matendo zero. Haijawahi tokea dunia nzima, ni aibu kubwa kaletea watanzania huyu kilaza
 
Hivi ni Mabeberu au *Wahisani*?
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.

Nanukuu

"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"

Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.

Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!

The true revolution comes from inside yourself....!
 
Back
Top Bottom