Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,854
Enzi zangu nilikuwa kila nikiingia ndani lazima niibe sukari.Enzi za vitanda vya chuma ukipanda kitandani lazima ujirusherushe kama upo kwenye bembea.Enzi zangu nilikuwa napenda kuogelea mabwani then nikitoka uko nikikaribia nyumbani naanza kupaka mate kwenye ugoko na uso kwa kuogopa kipondo.