Enyi wanawake mlio kwenye ndoa

Na mimi nimeshangaa ujue. Labda kama huyo rafiki alimnunulia hizo shanga akamuwekea kitu kibaya. Ukute mke alitaka kuongeza chachandu kwenye mahaba jamani.

Kuhusu marafiki, inabidi mtu binafsi apime aina za marafiki alionao. Sio kwamba tu HS ntaolewa afu nikatishe urafiki na rafiki zangu kisa wao hawajaolewa mmh. Sio kila ambaye hajaolewa ni mbaya au atakushauri vibaya. Unawajua rafiki zako wazuri na wabaya, wale wabaya punguza urafiki nao na usiwaelezee mambo yako ya ndoa. Afu at the end of the day wewe ndo muamuzi wa mwisho, ushauri utapewa hata na aliyeolewa mwenzako ila akili kumkichwa.
sikulazimu ukikubali nlichosema.,,,,hvi hujawah kukumbana na rafiki aliekuw mzur kwako ghafla akawa chui kisa unamchumba /umeolewa / umefanikiwa kimaisha?? je atakwambiaga leo mim ni mbaya wako??
 
sikulazimu ukikubali nlichosema.,,,,hvi hujawah kukumbana na rafiki aliekuw mzur kwako ghafla akawa chui kisa unamchumba /umeolewa / umefanikiwa kimaisha?? je atakwambiaga leo mim ni mbaya wako??
Hatulazimishani, ila tunashare tu mawazo, ulichokiongea kipo lakini tunachokiongea sisi kipo pia . Nina friends ambao kuna vitu wamenizidi but I have never casted an evil eye on them (I'm counting my blessings). Tunapendana, tunasaidiana na tunashirikiana mengi tu. Na kwa vile nilivyowazidi wao, tunashare tu kiroho safi

Aliyeolewa pia anaweza kukufanyia/kukushauri jambo baya, na wengine hata mama zao/ ndugu zao wanawatendea mabaya. Mtu ambaye una uhakika kuwa hatokugeuka 100% ni Mungu pekee. Can't leave my loyal girls ambao tumeshikamana tangu enzi za kidumu na ufagio kisa nimeolewa kabla yao. Kuna vitu vitabadilika yes, but as long as they still keeping it real with HS, no red flags..., I'mma keep them. Omba tu Mungu ule muda unaohitaji ushauri, basi atokee mtu atakayekupa ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom