...kwanini wanawarudisha watu waliokataliwa??...kwanini wasteue majina mapya??....kuna watu kama David Kafulila ambao ni makini sana na wanajua hata mambo ya uchumi na wana experience kubwa ya kuwa bungeni....hao kina Masha wakikataliwa tena itakuwaje?
..upigaji kura safari hii ni tofauti.
..wakipelekwa watatu au zaidi watakaopita ni wagombea wawili walioongoza kwa kura.