Plot4Sale Eneo lenye nyumba 19 linauzwa Kimara

sangaima

Member
May 16, 2023
9
15
Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji.
Na bado eneo limebaki.
Eneo lote lipo ndani ya fense ya ukuta
Huduma zote za kijamii zinapatikana
na pia kuna kisima cha maji cha umeme.
Frame mbili za duka
Garden nzuri ya maua nk
Eneo lipo Kimara Korogwe mita 800 tokea morogoro Road Mwenye eneo anataka 350M Maongezi yapo, Dalali anapata 10%

Mawasiliano:
0760132040
 
Dalali anapataje m35? Aliwahi hata kununua tofari?
 
Hii Bishara nzuri,Tupe hata Picha za Google Map
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom