Emmanuel Okwi aichinjia baharini Simba SC, aamua kujiunga rasmi na SC Villa ya nchini kwao Uganda

Hakuna anaye weweseka na jinsi ulivyo hoi hivi sasa!
Povuu nyi tulieni tuu. Wasichoke wewe ulopigwa 4G juzi halafu unashangilia goli 2 za ajabu dhidi ya timu dhaifu ya Mwadui na kuongoza point moja mnahisi mshafika. Hamjacheza na Azam wala simba. Maana wote wamekunyanyasa vibaya for past 3 weeks
 
sio mbaya kujipa moyo!

Si dhani kama yuko tayari kukosa kucheza mechi za kimataifa CAFCL NA CAFCC .....il hali hali halisi ya Simba anaijua ilivyo!
Mkuu mimi nilikwambia ukanipuuza! Kiko wapi sasa? Okwi yule msimbazi japo sijaunga mkono usajili wake!
 
Ubishi kipaji chako
Uelewa kazi!

Sasa Okwi angejiungaje na klabu ambayo inashiriki Ligi Tu....?

Alisubiri mpate tikiti la CAF ili aje kuvuna mamilioni hapo msimbazi....

Laws of Supply & Demand zilimfanya asajili mkataba wa muda mfupi Villa.

Angekuja muda ule lazima angevuna pesa ndogo kwakuwa uhitaji wake haukuwa mkubwa kulingana na michuano simba inashiriki.
 
Hivi kale karufaa kao kamefikia wapi kule FIFWA? Au kamekufwa?
Mezani FC Sasa imekuwa Geresha FC
 
Back
Top Bottom