Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,869
- 16,917
Wengi sasa wameanza kumwangalia kwa jicho flani huyu msomi na jamaa mwenye utulivu flani. Wanasema anafaa kuwa Rais wa kupitia CCM yaani yeye ni bora kuliko manyang'au wengine.
Hata uongeaji wake ni mtulivu na anahesabu maneno. Wakubwa wake wanatiririsha tu maji taka. Yeye anachuja. Nadhani kwa kipindi hiki CCM twende naye huyu. Anafaa . Na ana msimamo. Mnakumbuka alipomkatalia Kikwete wazi wazi uteuzi ule ambao Lowassa alifanyiwa figisu?
Anyway. .. najua wapinzani mtasema CCM hamna msafi kote kote hamna msafi labda Tundu Lissu tu huyu mpaka sasa sijasikia hata akisingiziwa kashfa pamoja na kuwa mwiba mkali. Na anatafutwa sana bila kupatikana. Huyu hanunuliki.
CCM - E. Nchimbi
CDM - T. Lissu