Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,522
- 22,435
- Thread starter
- #101
Kama walivyofanya CCM kwa magufuli. Barabara na madaraja do zilimpa ushindi maana kwenye kampeni ndo ilikua kama kisingizio cha utendaji wa Magu.
JPM nae alikuwa mbadala baada ya CCM na kitengo kupiga hesabu kuona kwamba ni lazima wamweke mtu ambae ni wa nje yaani "outsider".
Kwasababu kitengo tayari kiliona jinsi CCM ilivyokuwa ikielekea kupoteza ushindi amnapo ingekuwa ni majanga kwake yaani "disaster".