Chimamiroby
Member
- Nov 13, 2019
- 46
- 42
kwaiyo tufanyaje csa wakati wawili hao wanajulikana na pete walishaveshana, kwani wamefanya kosa au mm ndio sijaelewa hii post maanake ni nn?ELIZEBERT MICHAEL (LULU) ABEBA UJAUZITO WA MAJIZO
Mwigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Elizebert Michael ambaye pia ni maarufu kwa jina la Lulu hatimaye ni mjamzito na hivi karibuni atajifungua mtoto wake wa kwanza.
Lulu ametumia ukurasa wake wa Instagram kupost picha hiyo kitu ambacho kila mtu amempongeza kwa hatua hiyo.
Hata hivyo baadhi ya watu wanapenda kujua Baba wa Mtoto atakaye zaliwa ila kwa habari kutoka kwa watu wa karibu Baba wa Mtoto ajaye ni Majizo ambaye ni Mkurugenzi wa EFM Radio na TV
Mwaka jana 2018 Mwezi wa 9 Tarehe 30 Fransic Siza ambaye ndio Majizo aliamua kumvisha Lulu pete ya Uchumba hii ni baada ya Lulu kumaliza kifungo chake Gerezani cha kumuua Steven Kanumba bila ya kukusudia.
View attachment 1272625