mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,857
- 3,561
Kwa sasa unapata ujasiri wa kutamka maneno kama hayo! Lakini ungenyimwa wakati unaanza kusoma ungekuwa wa kwanza kuwa kimbelembele kama mfuko wa shati kwa kuanza kuandamana na kuililia serikali kama ndio mzazi wako! Kama wewe unaona serikali ya ccm inakutesa, nakushauri anza kwa kumwekea mwanao mazingira mazuri ya kutokuja kukopa.....sio kuwahamasisha na kuwalisha watu mawazo mfu kama haya!Walinipotezea muda kusomea didgrii ambayo sijawahi ata kuitumia..! Chakushangaza bado eti wananidai hivi wanaelewa hasara kiasi gani nilipata kwa miaka 3.