Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,698
- 13,367
Nitajitahidi kutumia maneno machache.. japo mada hii kueleweka vizuri inahitaji maelezo mengi sana.
Nianze na haya kwanza,
1. Elimu
Ukiwa na miaka kama sita hivi unaanza shule.
Kujifunza kusoma, kuandika na mahesabu.
Ukisoma chuo utajifunza kazi fulani kufatana na ufaulu wako (IQ)
Uwezo wa mtu haupimwi kwa mtihani wa maelezo ya kuandika.
Akili ambayo Mungu kakupa haipimwi na mtihani wa masaa 2 au 3
Kwasasa waliotengeneza mitaala ya Elimu hawahitaji tena wasomi wa elimu hizo, kuwa na degree au phd na kukosa kazi sio jambo la kushangaza.
Unatoka vipi na Kufanikiwa ....?
2. Kipawa/Zawadi (Gift)
Kila mtu aliyekuja duniani Mungu amempa zawadi au kipawa fulani ambacho ndicho ufungua mlango wake wa mafanikio.
Unatakiwa kutambua kipawa chako ni kipi.. kuwa mtu mwenye mafanikio.
How to discover your Gift
Kwanza, kile ambacho Mungu amekupa kama zawadi ambacho ukikifanya basi utakifanya kwa ustadi mkubwa mala nyingi mtu hujikuta katika mazingira ya kupigwa vita na kile ambacho ni kipaji chake.
Mifano ya vita ni mingi, hata rafiki au mzazi wako anaweza kuwa wakwanza kukwambia huwezi.
Kuna content creators wengi sana walianza kwa kuambiwa hawawezi lakini wamevuka na nyota kung'ara sana
Mfano2, Niliwahi kusikia shuhuda ya Muimbaji mmoja mkubwa wa gospel,
Yeye anadai alipozaliwa alichelewa kuongea, alikuwa na tatizo la sauti na alifanyia hadi operation kwa tatizo hilo... vita alishinda kwani alijua kuitumikia zawadi yake vyema. kwa sasa ni Muimbaji mkubwa mwenye mafanikio.
Kutoa mifano mingi sio jambo la msingi sana, muhimu na wewe utambue Zawadi Yako.
Kipawa Chako.
Ni rahisi sana watu kukwambia wewe huwezi kuwa hata kiongozi wa kitongoji, lakini kumbe Mungu ndio kakupa kipawa na nyota ya uongozi.
Tazama kile unachokiona ndani yako na usitegemee kutiwa moyo na yeyote nje, hakuna anayeona ndani yako Mungu kaweka nini, zaidi yako wewe peke yako kwanza.
Kama unatamani siku moja uwe mtu mwenye mafanikio, na utajiri wa kukupa pumziko, unatakiwa Kutumikia kile ambacho ni kipawa chako, na dunia itanufaika na wewe utanufaika pia.
Kipawa cha Mungu kwa mtu mmoja unufaisha wengi.
Kutambua na kuanza kumwagilia maji (Kutumikia) Karama uliyonayo..
Unahitaji
1. Self concept
2. Self discipline
3. Self esteem
Turudi kwenye Namna ya kuitambua zawadi au kipawa chako..
Niombe mawazo ya wachangiaji kwanza..