Elimu na maarifa ya ziada

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
310,856
763,047
Haya si ya KIADA bali ni ya ZIADA.. Ya KIADA huwa kwenye mitaala na miongozo rasmi ya serikali kwenye ufundishaji mashuleni na vyuoni
Ya ZIADA sio rasmi na walimu na wakufunzi hawana shuruti ya kuyafunza bali kwa utashi wao na kwa nia ya kuwaongezea wanafunzi wao maarifa wanaweza kuwafundisha kama masomo ya ziada
1744947843673.jpg
 
Back
Top Bottom