Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,399
- 10,896
Wewe pekee yako kwa mwezi unatumia shilingi ngapi?Mgao uliotolewa ni kwa mwezi mmoja tu
Wewe pekee yako kwa mwezi unatumia shilingi ngapi?Mgao uliotolewa ni kwa mwezi mmoja tu
Mjomba bilioni unaijua wewe?HII si kweli nilimsikia MAGUFULI mm mwenyewe akisema pesa wamepelekewa kila shule zaid ya 1b kwa 3months
akatoa na onyo "ole wake yeye ataetumia vibaya"
Serikali huwa inapitia hapa JF pia. Sasa hebu changanua kitaalamu unadhani shs ngapi ingetosha, licha ya kwamba lazima uelewe siku zote mwanzo wa jambo lolote huwa mgumuNajua ni kila mwezi ninachosema ni kuwa fedha hizo hazitosh kwa mwez huo mmoja. Mwanafunz mmoja ni kama anapewa 399tsh kwa mwezi how can this be posible?
Duc in Altum
Watu wenye pesa mna jeuri, eti elimu bure ya nini, ok, hata hivyo wenye pesa mmetengewa shule zenu kadhaa za serikali kama Olympio S/m na hizo private zooote.Elimu bure ya nini??? Inamaana wazazi wote Tanzania ni viwete wasio jiweza. Tunafuga kizazi gani kisicho kuwa na responsibility... Yaani mzazi asiyejua umuhimu wa kumlipia mwanae karo ni mzazi gani huyo
Ndugu wana jamvi,
Nimeshangaa sana badala ya kuona kiasi cha fedha ambacho moja ya shule ya msingi iliyoko mkoa wa Pwani imepewa kwa ajili ya elimu bure.Shule hii ina wanafunzi 1120 na imepewa 447000tsh. Hii ni kwamba kila mwanafunzi amepewa shilingi 399.
Najaribu kuangalia mahitaji ya shule ikiwemo kulipa walinzi, kununua chalk, kununua karatasi pamoja na vifaa vingine muhimu shuleni naona kuwa fedha hizi hazitoshi hata kidogo. Hazitoshi kuendesha shule hata kwa week mbili.
Naiona elimu ya Tanzania ikididimia na ubora ukishuka zaidi.
Duc in Altum
ongezea ili itoshe, watu bwana kulalamika tu mnataka zibaki muanze kuchezea kibati?
Ahsante...!!! Hata mm nlikuwa najiuliza, jamaa shuleni kwake kapewa Tsh 71,000/- Nusu yake 35500/- Kuwalipa walinzi, mitihani ya mock, muhula na wiki, ukarabati, posho, kununua karatasi, maandalio ya somo, chaki, umiseta, kulipia ukaguzi. Halaf nusu nyingine 35500/- Kununua vitabu, vifaa vya maabara na dawa baridi kwa watoto wa kike. Mbaya zaidi mkuu wa shule amechimbiwa mkwara mzito kwamba ole wake atumie pesa hizo vibaya! Cha kusikitisha sasa, Shule yake iko umbali wa zaidi ya 120KM kutoka kutoka Ofisi za Halmashaur ambako Cheque yake inabidi ikasainiwe huko. Nauli ya kwenda na Kurudi ni Tsh 26,000/- Bila kula chochote. Kwa kifupi nilitetemeka fulani hivi, halafu nikahuzunika sana, nikamchek mkuu wa shule halafu nikamwambia "NAKUOMBEA DUA YASIKUKUTE" maana wakubwa wanasema "Mwaka huu tutawafunga wengi sana"Ndugu wana jamvi,
Nimeshangaa sana badala ya kuona kiasi cha fedha ambacho moja ya shule ya msingi iliyoko mkoa wa Pwani imepewa kwa ajili ya elimu bure.Shule hii ina wanafunzi 1120 na imepewa 447000tsh. Hii ni kwamba kila mwanafunzi amepewa shilingi 399.
Najaribu kuangalia mahitaji ya shule ikiwemo kulipa walinzi, kununua chalk, kununua karatasi pamoja na vifaa vingine muhimu shuleni naona kuwa fedha hizi hazitoshi hata kidogo. Hazitoshi kuendesha shule hata kwa week mbili.
Naiona elimu ya Tanzania ikididimia na ubora ukishuka zaidi.
Duc in Altum
Usiishi kwa kusikia tu, na usiwaamini CCM hata wakikuambia ukweliHII si kweli nilimsikia MAGUFULI mm mwenyewe akisema pesa wamepelekewa kila shule zaid ya 1b kwa 3months
akatoa na onyo "ole wake yeye ataetumia vibaya"
Daaaaah hili kama ni kweli basi kazi ipo, hivi tathimini ilifanyika kukidhi mahitaji ya kila shule au sanaa kama kawa kama dawa!!?Ahsante...!!! Hata mm nlikuwa najiuliza, jamaa shuleni kwake kapewa Tsh 71,000/- Nusu yake 35500/- Kuwalipa walinzi, mitihani ya mock, muhula na wiki, ukarabati, posho, kununua karatasi, maandalio ya somo, chaki, umiseta, kulipia ukaguzi. Halaf nusu nyingine 35500/- Kununua vitabu, vifaa vya maabara na dawa baridi kwa watoto wa kike. Mbaya zaidi mkuu wa shule amechimbiwa mkwara mzito kwamba ole wake atumie pesa hizo vibaya! Cha kusikitisha sasa, Shule yake iko umbali wa zaidi ya 120KM kutoka kutoka Ofisi za Halmashaur ambako Cheque yake inabidi ikasainiwe huko. Nauli ya kwenda na Kurudi ni Tsh 26,000/- Bila kula chochote. Kwa kifupi nilitetemeka fulani hivi, halafu nikahuzunika sana, nikamchek mkuu wa shule halafu nikamwambia "NAKUOMBEA DUA YASIKUKUTE" maana wakubwa wanasema "Mwaka huu tutawafunga wengi sana"
MWENYEZI MUNGU IBARIKI TANZANIA
June mbali ivo, march tu inatosha kutoa taswira ya mapema.Hii elimu bure hii, ngoja nicheki term hii itakuaje tutapeana mrejesho June
Nakuambia wataisoma haswa, wao kulalamika tu ndio wanajua hawaoni walivyoua elimu, madawati ndio mradi mkuu dawati moja mtu binafsi unachonga sofa maana garama zinalingaba, mwaka huu ndio wataamua ualimu ni wito, kazi au sehemu ya kujiegesha kupiga dili.nmecheka sana mkuu , waalimu wakuu bwana vitabu vilevile vinanunuliwa kila capitation ikitoka kitabu kimoja kinanunuliwa mara 4 mwaka huu wataisoma