Eh! kumbe madaktari mshahara kiduchu hivi!

Kwa kejeli ya kiasi hiki, ningekupiga unastahili anaesthetics ili akili ianze kuload vizuri.
 
Yaani humu ndani sijui mkoje, tatizo la watz ni kutafuta kosa ili mtukane or muwe negative. Huyu kaka kacompare vizuri sana na assumption zake za kuwa madaktari kwa kazi ngumu Wa nayo fanya na Mshahara wao haviendani kabisa.
Ndio maana mnashikilia Bashite mnaacha kupigia debe afya bora, shule bora, barabara bora etc
Mmekaa Bashite bashite hamjui Kama politics is a dirty game you just need to fight for what you need.
 
Acha kutuonesha udhaifu wa fikra zako waziwazi namna hii. Kila mtu ana maisha yake aliyopangiwa na inategemea alipitia mkondo gani.Au uko kwenye finance zako ndio walikufundisha hivyo?? Sidhani kama tutafika. usikariri maisha kwamba mtu kwa sababu alikuzidi akili darasani ndio akuzidi na kipato.

Daaaah uyu ni graduate jamani ameleta hii mada tu discuss!!!.Hatari sana Tanzania yetu
 
1.48 mbona mshahara mkubwa sana tu huo. Sema labda makato yamekuwa makubwa lakini kiasi cha mshahara sio kidogo. Jamani issue nyingine ya msingi nikwamba kwenye ajira hakunaga utajiri kama unatak kutajirika jiajiri

"Hakunaga utajiri kama unataka kutajirika jiajiri"Vyemaaaa
 
Kumbe finance ina watu waseng€ yaan unaona bora wote tungesoma ulicho soma wewe dunia infgekuwa ktk hali gn?
 
C nlisikia awa watu they just reseive reseirve grant not a loan
 
mleta mada utakuwa wa kgr wewe si bure daa! hata hilo hadi ulilete jf huwenda jamaa yako ana mikopo mabenk kadhaa na kakosa maendeleo kwa kuwa na idadi kubwa ya michepuchepu
 
Hakuna kitu kama hicho Udaktari ni ajira kama ajira nyingine ,kazi za wito huwa hazina Mshahara na watendaji wanalipwa posho na wahudumiwa kama Mapadri nk pia jamii husika INA wajibu wa kuwalea watoa huduma za wito kwenye masuala ya chakula malazi ,usafiri nk labda niulize kuna daktari anaepanda daladala bure kwa kuthamini mchango wake kwa jamii?
 
Wito upadri peke yake. Hakuna mahala wameandikishwa kwenye mkataba kwamba wanafanya vocation, yani wito.

 
Sijasema msome wote finance. Mimi nimesikitika tu. Pili maisha hupangiwi na yeyote,unapanga mwenyewe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…