tena kasema 2020 anagombea tena
1.48 mbona mshahara mkubwa sana tu huo. Sema labda makato yamekuwa makubwa lakini kiasi cha mshahara sio kidogo. Jamani issue nyingine ya msingi nikwamba kwenye ajira hakunaga utajiri kama unatak kutajirika jiajiri
C nlisikia awa watu they just reseive reseirve grant not a loanKati ya siku iliyonisikitisha ni Leo. Kina rafiki yangu, namuadmire sana, toka tukiwa wadogo alikuwa so bright, mpaka akafanikiwa kuwa daktari.
Mimi binafsi huwa napenda sana kila weekend au nipatapo muda kuwa nae sehemu tunapiga story, naye hupenda kuniambia vitu vya kazini kwake kama wagonjwa na matukio anayokutana nayo. Ila ni kama weekend moja tu kwa mwezi ninaweza kumpata nyingine yeye huwa busy sana.
Sasa Mimi nimesoma mambo ya finance na nilifanikiwa kupata exposure nje kwa muda tu. Sasa kwa assumption zangu jinsi huyu rafiki yangu anavyokuwa busy na kutoa muda wake ata kukesha na kuwa mbali na familia nikajua na angalau salary yake itakuwa safi. Ila chakushangaza Leo alipata salary slip yake na kunionesha , oh my imenisikitisha kiukweli, ni around 1.48m take home yake ni kama laki 4 baada ya kukatwa na bodi na bank. Yani ninamzunguka karibu Mara 5 na sijawahi kukesha hats Mara Mona kazini. Yani kwa kifupi effort zake na zangu hazilingani. Sisemi kwamba kazi yangu haina challenges isipokuwa sifikii za kwake.
Nimejifunza kitu Leo. Maisha ni ushuzi mtupu, nimeamua nitampatia million 10 amalize shida zake ndogondogo rafiki yangu sana. This is not fair.
Hakuna kitu kama hicho Udaktari ni ajira kama ajira nyingine ,kazi za wito huwa hazina Mshahara na watendaji wanalipwa posho na wahudumiwa kama Mapadri nk pia jamii husika INA wajibu wa kuwalea watoa huduma za wito kwenye masuala ya chakula malazi ,usafiri nk labda niulize kuna daktari anaepanda daladala bure kwa kuthamini mchango wake kwa jamii?
Acha kutuonesha udhaifu wa fikra zako waziwazi namna hii. Kila mtu ana maisha yake aliyopangiwa na inategemea alipitia mkondo gani.Au uko kwenye finance zako ndio walikufundisha hivyo?? Sidhani kama tutafika. usikariri maisha kwamba mtu kwa sababu alikuzidi akili darasani ndio akuzidi na kipato.
Daaaah uyu ni graduate jamani ameleta hii mada tu discuss!!!.Hatari sana Tanzania yetu