Edward Lowassa ametembelea kituo cha kulea watoto yatima cha UMRA kilichopo Magomeni

Tehe tehe tehe maji ya kandoro na noti ya 10000 halafu muuzaji anaamniwa keep change. Mimi siasa sizitaki kabisaaaa. Sitaki kuwadhihaki watu
hahahahahahahahaha siasa ni nzuri kama ukizifuma. nasikia ana tatizo la kusahau hivyo watu wake walikuwa wanaweza kumuomba hela ya mafuta ya gari anatoa laki 4 halafu baada ya nusu saa anarudi tena na issue hiyo hiyo mzee anatoa tena anasahau kuwa alishatoa! yaani watu wamekula sana pesa zake, hapo ndio siasa inaponoga hahahahahaahahah (joking)
 
Nasikia kauza nyumba ya masaki.
 
Dini iliyosafi ni kuwaona yatima ,wajane na masikini.

Hii dunia inatisha yaani kutoka kutoa pesa hadi kutoa unga na maharage!!!
Lowasa enzi zake ilikuwa ukimwita tu jiandae kupokea burungutu la pesa kwenye bahasha ya kaki kama picha hii HAPO CHINI chini.Sasa hivi anatoa unga na maharage!!!!.Poa tu!!! Nafikiri wale mliokuwa mnajipanga kumwalika mpate pesa MESEJI SENDI TU YU.

Hii dunia inatisha yaani kutoka kutoa pesa hadi kutoa unga na maharage!!!
Lowasa enzi zake ilikuwa ukimwita tu jiandae kupokea burungutu la pesa kwenye bahasha ya kaki

kama picha hii chini.Sasa hivi anatoa unga na maharage.Poa tu!!! Nafikiri wale mliokuwa mnajipanga kumwalika mpate pesa MESEJI SENDI TU YU.

Labda anaigiza
 
Hii ndiyo kazi inayomfaa kwa sasa kwa sababu anarudisha kile ambacho alikichukua bila ruhusa kutoka kwa wananchi pamoja na kwamba amepata faida kwa njia ya riba.

Ninafahamu kazi ya kuchunga ng'ombe kama alivyoahidi imemshinda kwa sasa.

Kazi ya siasa awaachie kina Mbowe ambao wanajua kuifanya na kuicheza.
Yule aliyetuibia fedha zetu kupitia MV daresalaam mbona hajarudisha shukrani kwa watoto yatima?
 
Yule aliyetuibia fedha zetu kupitia MV daresalaam mbona hajarudisha shukrani kwa watoto yatima?
Mumunya mumunya maneno kama wewe Kibogoyo. Kwani kama LOWASSA ni FISADI basi kashfa za kutengeneza kwa wengine pia lazima ziwe za ufisadi? Tafuteni yoyote labda mnaweza kufaulu.
 
Mumunya mumunya maneno kama wewe Kibogoyo. Kwani kama LOWASSA ni FISADI basi kashfa za kutengeneza kwa wengine pia lazima ziwe za ufisadi? Tafuteni yoyote labda mnaweza kufaulu.
Imekuchoma, mkuki kwa nguruwe kwa binadamu......................
 
Naona vijana wa LUMUMBA wamehamishia makazi kwenye uzi huu! Duh!
MUSSA ALLAN huoni aibu kuwaita watu wa LUMUMBA? Au kwa sababu ulihama naye ili kubebba Pampas basi unajisahaulisha kuwa hatukua pamoja kupamabana na MANYU... naogopa kula ban.
 
Back
Top Bottom