Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,537
Ni marehemu, acha ujingaHongera yake sana, vipi baba wema alishaenda?
Ni marehemu, acha ujingaHongera yake sana, vipi baba wema alishaenda?
Nashukru kwa kuliona hili. Ndo maana Jana zikaanza figisu za mahali pa kuagia ili mradi kila mahali tunaingiza siasa. Mtu akinyimwa uenyekiti wa msiba anazuia uwanja wa kuagia.Tumeanza kuingiza siasa kwenye msiba ndiyo tatizo.
Kwa history ya nchi hii kwa msiba yote niliyowahi kusikia iwe ya matajiri au masikini,wengi au wachache,maarufu au asiwe maarufu mara nyingi huwa tunaanza kukumbuka mambo Mzuri aliyoyafanya marehemu ktk uhai wake na michango wake kwa jamii na Mara nyingi wana familia hupewa nafasi ya kuamua mazishi ya mpendwa wao.
Sasa naona siku hizi kumeibuka vituko Vua kila aina ktk msiba na ndiyo sehemu siku hizi watu wana kula rambirambi utakuta mmechanga pesa ya kusafirisha marehemu lakini ndugu yenu anakula cha juu na Mwenye coaster au catering services yaani shida moja kwa moja.
Msiba imekuwa sili siku hizi watu wanalilia kuwa viongozi mwenyekiti wa kamati au mwaka hazina.
Mzee wa rambi rambi huyoGumbo kashafika huko tayari
GamboRambirambi nani anachukuaa
Atakuwa anaombea vifo viendeleee kutokeaGambo
Pale hakosi milioni 30Mzee wa rambi rambi huyo
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa mchana huu amefika nyumbani kwa marehemu Dr. Philemon Ndesamburo mjini Moshi kutoa pole na kutia sahihi kitabu cha maombolezo nyumbani hapo.
View attachment 519103 View attachment 519102
Mbowe Ndio kafiwa? mlitakiwa mtoe picha Ya lowasa akitoa mkono kwa wanafamilia wafiwa sio mbowe au walikataa kuonana naye na kupeana mkono naye?Lowassa hanaga makuu....yule mvuta bangi wa chuga atakua anaumia sana.