Edo Kumwembe, mwandishi asiye na chembe ya unafki

Mbn mara nyingi edo husema "maisha bila unafiki hayaendi" ina maana hata yeye huwa mnafiki wakati mwingine
 
kumwembe nadhani anapaswa kua makini kidogo, ukizingatia watu wengi wanamsoma na kumfuatilia

Alipoweka hizo picha kwa pamoja na kuandika alichoandika ana imply Magufuli anahusika moja kwa moja na kupotea kwa Ben Saanane

Inaweza kuwa anahusika au hausiki, ila kwa kuwa lina utata bado sio vizuri kuweka picha inayotoa conclusion kwamba anahusika na kuhukumu

au mihemko imemzidi nguvu..of course he's human too
acha uoga wewe watu Kama nyie ndio mnaturudisha nyuma
 
Kumwembe hajaweka hizo picha yeye kaandika tu hiyo post. Acheni kuunga unga picha tusije kuanzisha hashtag humu.
 
kumwembe nadhani anapaswa kua makini kidogo, ukizingatia watu wengi wanamsoma na kumfuatilia

Alipoweka hizo picha kwa pamoja na kuandika alichoandika ana imply Magufuli anahusika moja kwa moja na kupotea kwa Ben Saanane

Inaweza kuwa anahusika au hausiki, ila kwa kuwa lina utata bado sio vizuri kuweka picha inayotoa conclusion kwamba anahusika na kuhukumu

au mihemko imemzidi nguvu..of course he's human too
Punguza Povu ule ndio ukweli
 
Sahihi mkuu......huyu mwandishi ni kichwa panzi .....yy ameshafikia conclusion ....mnafiki sana .....
 
kumwembe nadhani anapaswa kua makini kidogo, ukizingatia watu wengi wanamsoma na kumfuatilia

Alipoweka hizo picha kwa pamoja na kuandika alichoandika ana imply Magufuli anahusika moja kwa moja na kupotea kwa Ben Saanane

Inaweza kuwa anahusika au hausiki, ila kwa kuwa lina utata bado sio vizuri kuweka picha inayotoa conclusion kwamba anahusika na kuhukumu

au mihemko imemzidi nguvu..of course he's human too
Mawazo kama yake watu hujadili wakiwa wanafahamina na kuishia huko huko. Ila yeye kwenye page yake yenye laik zaid M??? Aisee kahitoa muhanga kwakweri japo katumia lugha ya tafsda lakin kaiweka wazi kwa picha alizoziambatanisha
 
kumwembe nadhani anapaswa kua makini kidogo, ukizingatia watu wengi wanamsoma na kumfuatilia

Alipoweka hizo picha kwa pamoja na kuandika alichoandika ana imply Magufuli anahusika moja kwa moja na kupotea kwa Ben Saanane

Inaweza kuwa anahusika au hausiki, ila kwa kuwa lina utata bado sio vizuri kuweka picha inayotoa conclusion kwamba anahusika na kuhukumu

au mihemko imemzidi nguvu..of course he's human too
Kama kweli jeshi lisingekuwa na hururma kwa picha hizi alizobandika Edo na hayo maneno alipaswa kukamatwa na kutoa maelezo.
Yani mkurupukaji anaitwa jasiri teh teh....
 
Kujua ni kuzuri lkn ni kuzuri zaid kukikusaidia wewe na jamii inayokuzunguka.
Mtu inafika mahali unashndwa hata ufanye jambo lipi ili binadamu uguse watakacho, Rais kafanya mengi sana ambayo hata hatukuwahi kumfikiria hasa kwa namna tulivyokuwa tumekichoka chama atokako na uozo mwingi uliokuwa unatetewa na watawala, chakushangaza sasa Rais kapinduapindua takataka zooooote kwa kadili alivyoweza,wenye upeo sasa wanakejeli, oh ana visasi hasira jeuli kiburi na maneno mengi ya kejeli.Binafsi nachukizwa sana na jambo hili, tumlinde Rais wetu watu wa namna hii washughulikiwe haraka na bila woga.UKICHEKA NA NYANI UTAAMBULIA MABUA.

Watu wenye busara hawaongei uchiizi huu, mkiwashughulikia wanaanza kelele, tuache hizo tuheshmu na kutii mamlaka, midomo hii itatuponza.Ni vizuri tusiwatumainie wakuu wetu tusimame kwenye uweledi na sio misukumo ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom