Unregistered said:Ohooooo! Angalia huyu Mzanzibari!
Anachoona yeye ni ukaribu wa dini, ethnicity, n.k. Haoni kwamba katika ulimwengu tunakoelekea hayo ni mambo ya mwaka 47 kama tunavyosema. Haoni kwamba fikra kama hizo ndo zinazochangia uhasama kwa sababu ya kutoona zaidi ya ukabila na udini n.k. Mifano ipo kila mahali, IRAQ hivi sasa Wasuni, Washia ohoooo..
Anataka kutuambia kwamba atafanya biashara na Mgiriama lakini siyo mkikuyu au Mwacholi au mnyarwanda?
Tuachane na mawazo hayo!!! Yamepitwa na wakati! Umoja tunaotaka ni wa kuwasaidia wananchi wetu, bila kujali tunaungana na kabila gani au nchi gani au dini gani.
Sasa mwataka kuhamia Oman?
Unregistered said:Jamani, What is hapening with KFF(Kenya Football Federation)? Did I hear well? So, FIFA is coming to investigate corruption in KFF? Is this true? Can somebody enlighten me. Is KFF led by Kikuyus or Luos? Or perhaps Kalenjins? or even Kambas or luhyas?
Unregistered said:What is it that so hard for you to understand ?Are you insane ?From this article, I thought you could realize that those numbers can be changed in a matter of sunrise and sunset so as the masters can get what they want.Uganda was praised economically just to get it into the line to be exploited, **hole.
Your argument about reading the book,do you know how many lessons you can get from reading one book ?For your information,any book has more than one lesson,just incase it happened that you do so.You don`t have to read the whole of it,if you did on the one quoted .By the way,have you been to school at all ? Or is that 8-4-4- that we are trying to compare and contrast here.
Unregistered said:What is it that so hard for you to understand ?Are you insane ?From this article, I thought you could realize that those numbers can be changed in a matter of sunrise and sunset so as the masters can get what they want.Uganda was praised economically just to get it into the line to be exploited, **hole.
Your argument about reading the book,do you know how many lessons you can get from reading one book ?For your information,any book has more than one lesson,just incase it happened that you do so.You don`t have to read the whole of it,if you did on the one quoted .By the way,have you been to school at all ? Or is that 8-4-4- that we are trying to compare and contrast here.
Unregistered said:well its ok if you want to judge my education, chances are you aren't that educated yourself,its easy to sniff you out.getting to the point, your are trying to excuse your slacker status in the region, and hmmm the best way to do that is to claim UG faked their numbers. well brother, you can fake numbers you can't fake reality, ive been to both UG and TZ, i can confidently claim UGN live a better life than most TZN and just to rub salt in your wound, they were worse off in 1986 and they did it from a weaker position, so you guys believe you don't cook numbers your country has the lowest indicators in the region, you are simply operating on the margins and your economy is heavily dependent on foreign aid, if they shut the taps you guys will go down the drain. and plz 8-4-4 is not perfect but i can challenge you to an essay competition with my form one brother chances are you will get an F for plagiarism if you can fathom the word that is. hasta la vista
Ambwene said:Unregistered,
Afadhali umeliainisha vema suala la wa-Tz na wa-Kenya kutoaminiana. Binafsi naliangalia hili kwa mapana na linanifanya nijue kwanini watanzania hawapendi kuwa na Shirikisho hili.
Wa-Kenya, nashauri mjaribu kujiuliza kwanini Uganda & Tanzania hazina imani nanyi. Ni kweli mmeendelea kiasi cha kujiona ni wa kipekee sana ninyi? Ni kweli uchumi wenu uko juu kiasi ambacho baadhi yenu wanadai? Hivi hizo dhana za kuwa Kenya ni tajiri kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki bado mnazo vichwani mwenu? Can you change this attitude?
Wakenya wanastahili kujiuliza mara mbilimbili, waache kashfa au kuandika lawama tu dhidi ya watanzania au waganda. Kuhoji sababu ya kuungana nanyi ni muhimu sana, huwezi kumdharau mtu anayekupinga kwa kusema 'hazimtoshi' kabla hujajiuliza kwanini akupinge. Ana hoja!
Shirikisho hili ndilo lililowapa 'baadhi' ya wakenya kiburi kujiona kuwa taifa lao ni tajiri. Shirikisho hilihili nahisi ndilo chanzo cha dharau hizi zote japo sote ni ndugu. Shirikisho hili linapofikiriwa kuanzishwa na wananchi wa mataifa yote matatu kutakiwa kutoa maoni yetu, ni haki ya msingi kabisa kuhoja umuhimu wake. Mnaweza kuona the way mnavyochangia hapa kuwa bado mnaonesha dharau kubwa tu na pengine mnafikia hatua ya kutukana.
Nawasikitikia watanzania/waganda wanaotoa kauli chafu katika uchangiaji wao, nahisi si kwa kupenda wanajikuta ghadhabu zimewapanda na usiombee mtu uwe na keyboard mbele yako na hakuna mwingine anayekuangalia, halafu ukute mtu kaandika kitu cha kukuudhi... Hapo hata neno ambalo hujawahi kutamka kwa kinywa chako linakuja tu, vidole havina mifupa wakti huo.
Wakenya mnatakiwa kuwahakikishia watanzania na waganda kuwa huku kuringa mnakosemekana kuwa mnako HAKUPO na kuwa mtahakikisha tunapoanzisha ushirikiano huu mnakubali masharti ya ushirikiano huu ikiwa ni pamoja na kukubali kuwa sote ni ndugu.
Watanzania ni wakarimu sana, wanayoandika kwenye forum hii yakiwa yanaudhi basi yanatokana na maumivu waliyopata kabla ya ile 'talaka' kutokea. Iliwakera sana watanzania na waliona kama ni kutukanwa. Haya hayana tofauti kwa Waganda. Tupingane kwa hoja, tuheshimu utu wa kila mmoja wetu. Sote ni watu wazima na tuna akili za kutambua anayendika amedhamiria nini.
Inshallah!
Unregistered said:Please stop blaming Kenya for the collapse of the EAC in 1977. In summary, the EAC collapsed purely because of idiological differences: Kenya pursuing a capitalist system, TZ had its own Ujamaa that our father, Mwalimu, bravely acknowledged was a big mistake, whilst Uganda was sadly being destroyed by Amin before Museveni saved it.
And just for your info, Charles Onyango-Obbo, a respected Ugandan journalist based in Kenya has voiced his concerns about the unfriendliness of the Tanzanian media to the rest of EA. Please refer to last month's The East African weekly paper. This month, a reknowned Rwandese journalist, also writing in the East African weekly paper, complained bitterly about the treatment that the Rwandese have received from the Tz authorities. Being chased away from TZ like dogs so to speak. In last week's Sunday Standard, your own citizen, Ernest Mpangira, voiced his concerns at the way the TZ have misused this webiste, writing all the negative stuff about Kenya. Two months ago, one of your countrymen based in Kenya and working for the Nation by the name GADDO drew a cartoon on your president (with all due respect to H.E. JK), and subsequently your journalist Salehe Mmoro, wrote a very nasty and abusive article on Kenya that appeared on this website. In this same forum, one of your supposed countrymen, a Zanzibari, has complained very bitterly about their union with the mainland TZ, preferring instead the EAF.
Now my TZ bros and sisters, ask yourselves, why is the entire region unhappy with your 'unfriendly' behaviour? Although on face to face you deceptively project a differrent picture;
A POLITE REQUEST PLEASE: DO NOT USE ABUSIVE LANGUAGE WHILE RESPONDING TO THIS ARTICLE. E.G MJINGA, NYANGAU, MSHENZI
---------------Unregistered said:tanzanians are obssed with kenyan tribalism,it seems our tribalism is bothering you more than its bothering us, we can deal with our tribalism, and pilipili usioila ya kuwashia nini? KFF has nothing to do with EAF or TZ for that matter.