lil wayne JF-Expert Member Apr 15, 2016 992 904 May 2, 2016 #82 Efm wakibeba Milard Ayo, B12 na yule Bi mdada, basi hapo clouds lazima wafunge kituo....
lil wayne JF-Expert Member Apr 15, 2016 992 904 May 2, 2016 #83 Hawa Jamaa Efm wako Dar tu washaanza kulinganishwa na Clouds fm.... Sipati picha wakienea mikoa yote ya Bongo!
Hawa Jamaa Efm wako Dar tu washaanza kulinganishwa na Clouds fm.... Sipati picha wakienea mikoa yote ya Bongo!