E-Fm yaendelea Kuitesa Clouds Fm Dar

huku kwe redio hamna kulipia so watu tunackiliza tunayotaka..maana kule kwe television tunalazimishwa kuangalia TBC
 
hivi kweli hii Efm watafikaga mikoani kwetu kweli kama mwanza vile au Arusha au wanaweza mbania vibali au mambo ya pesa hayako vema sana kwa kusambaza mikoani naomba kujuzwa hili wakuu
Ninavyofahamu radio yoyote mpya lazma ifikishe miaka 3 mkoa ilipoanzia ndio inapewa kibali na Tcra kusamba mikoani so hili liko nje ya Efm mkuu lazma wafate utaratibu tusubiri
 
Radio za mengi zimekumbwa na nini mbona zina stats ndogo ukilinganisha na ukongwe wake. Jamaa wanapaswa wabadilike.
 
Screen.jpg
Uongo usio na maana yoyote! vantz, naomba link ya hiyo ripoti yako manake na mimi nakupa link ya Geo Poll!

TV and Radio Ratings in Tanzania, Q1 2016

Posted by Athman Sungura on June 21, 2016

As part of Kantar-GeoPoll Media Measurement's daily surveys on audience habits for TV, radio, and print, GeoPoll is pleased to release this report on top TV and radio stations in Tanzania, popular viewing times, and more for Q1, 2016.

Top Radio Stations

Clouds remained the dominant radio station in Tanzania with an average rating of 10.7, compared to 9.8 in Q4 2015. TBC Taifa, the second highest-rated station, decreased in ratings from 4.7 in Q4 to 4.5 in Q1, but maintained their second position. Radio Free Africa and Radio One had the same average rating in Q1, 3.8, while TBC FM's ratings stayed consistent with Q4 2015. Once again Clouds, TBC Taifa, and Radio Free Africa were the top stations in terms of audience share, and 13% of audience share for radio went to "other" more regional stations. Full national radio ratings are in the chart below:

SOURCE: GEO POLL

Ukiangalia hiyo ripoti, wakati average rating ya Clouds ni 10.7 ya EFM ni 2.1 !! Likewise, wakati Rating ya Clouds imepanda kutoka 9.8 Q4 2015 to 10.7 Q1 2016; Rating ya EFM ipo constant over the same period!!

Sasa ikiwa hizo takwimu zako zinaonesha highest number of Listernship, inakuwaje tena inakuwa na low rating?
 
Radio za mengi zimekumbwa na nini mbona zina stats ndogo ukilinganisha na ukongwe wake. Jamaa wanapaswa wabadilike.
refer to Nokia ......
The advantage you have yesterday,will be replaced by the trends of tomorrow.You dont have to do anything wrong,as long as your competitors catch the wave and do it RIGHT,you can lose out and fail.
 
View attachment 365537 Uongo usio na maana yoyote! Hii radio kabla haijaenda hewani mlitumia sana jina la Jide kujitangaza kwa kusingizia kwamba ni ya Jide na hivi sasa mmeamua kuweka fake data! Naomba link ya hiyo ripoti yako manake na mimi nakupa link ya Geo Poll!

TV and Radio Ratings in Tanzania, Q1 2016

Posted by Athman Sungura on June 21, 2016

As part of Kantar-GeoPoll Media Measurement's daily surveys on audience habits for TV, radio, and print, GeoPoll is pleased to release this report on top TV and radio stations in Tanzania, popular viewing times, and more for Q1, 2016.

Top Radio Stations

Clouds remained the dominant radio station in Tanzania with an average rating of 10.7, compared to 9.8 in Q4 2015. TBC Taifa, the second highest-rated station, decreased in ratings from 4.7 in Q4 to 4.5 in Q1, but maintained their second position. Radio Free Africa and Radio One had the same average rating in Q1, 3.8, while TBC FM's ratings stayed consistent with Q4 2015. Once again Clouds, TBC Taifa, and Radio Free Africa were the top stations in terms of audience share, and 13% of audience share for radio went to "other" more regional stations. Full national radio ratings are in the chart below:

SOURCE: GEO POLL

Ukiangalia hiyo ripoti, wakati average rating ya Clouds ni 10.7 ya EFM ni 2.1 !! Likewise, wakati Rating ya Clouds imepanda kutoka 9.8 Q4 2015 to 10.7 Q1 2016; Rating ya EFM ipo constant over the same period!!

Sasa ikiwa hizo takwimu zako zinaonesha highest number of Listernship, inakuwaje tena inakuwa na low rating?
badala ya kukurupuka na kuanza kusema ni uongo,ningekuona wa maana ungesema data zenyewe ni za kipindi kifupi(wiki moja)Hivyo zinaweza zisielezee uhalisia.Sasa inabidi udhibitishe hizi ni ''fake data''.Tuletee ''Real Data'' katika duration hiyo 4th-8th July...
 
Hainaga ushemeji tunakulagaa!
kwa data za hapo juu inaonekana ''singeli'' inaanza kuchokwa....kili kipindi nyimbo zinajirudia rudia sana...hata hivyo Ayo yuko vizuri kwa upande wa pili.Waongeze ubunifu..
 
badala ya kukurupuka na kuanza kusema ni uongo,ningekuona wa maana ungesema data zenyewe ni za kipindi kifupi(wiki moja)Hivyo zinaweza zisielezee uhalisia.Sasa inabidi udhibitishe hizi ni ''fake data''.Tuletee ''Real Data'' katika duration hiyo 4th-8th July...
Nawe ningekuona wa maana endapo nawe ungeweka hiyo link kama nilivyoweka mimi! Hiyo attachment penye Clouds unaweza kuweka Radio One na penye Radio One unaweza kuweka TBC and so on!!!!! Kwahiyo huwezi kuthibitisha kitu ambacho ni frm unconfirmed source
 
View attachment 365537 Uongo usio na maana yoyote! vantz, naomba link ya hiyo ripoti yako manake na mimi nakupa link ya Geo Poll!

TV and Radio Ratings in Tanzania, Q1 2016

Posted by Athman Sungura on June 21, 2016

As part of Kantar-GeoPoll Media Measurement's daily surveys on audience habits for TV, radio, and print, GeoPoll is pleased to release this report on top TV and radio stations in Tanzania, popular viewing times, and more for Q1, 2016.

Top Radio Stations

Clouds remained the dominant radio station in Tanzania with an average rating of 10.7, compared to 9.8 in Q4 2015. TBC Taifa, the second highest-rated station, decreased in ratings from 4.7 in Q4 to 4.5 in Q1, but maintained their second position. Radio Free Africa and Radio One had the same average rating in Q1, 3.8, while TBC FM's ratings stayed consistent with Q4 2015. Once again Clouds, TBC Taifa, and Radio Free Africa were the top stations in terms of audience share, and 13% of audience share for radio went to "other" more regional stations. Full national radio ratings are in the chart below:

SOURCE: GEO POLL

Ukiangalia hiyo ripoti, wakati average rating ya Clouds ni 10.7 ya EFM ni 2.1 !! Likewise, wakati Rating ya Clouds imepanda kutoka 9.8 Q4 2015 to 10.7 Q1 2016; Rating ya EFM ipo constant over the same period!!

Sasa ikiwa hizo takwimu zako zinaonesha highest number of Listernship, inakuwaje tena inakuwa na low rating?
Huu mchezo hauhitaji Hasira.
 
Nawe ningekuona wa maana endapo nawe ungeweka hiyo link kama nilivyoweka mimi! Hiyo attachment penye Clouds unaweza kuweka Radio One na penye Radio One unaweza kuweka TBC and so on!!!!!
Umekuja na kelele za fake data bila kutuletea real data za kipindi hicho hicho,halafu unataka mimi nikupe link ya nini?...
''unaweza'' ''unaweza''............blah blah kibao..very delusional...
 
Aisee we jamaa naona unanipotezea muda wangu! Nimesema weka source ya hizo data; mbona maneno mengi? Ikiwa hakuna source, basi the whole thing ni FAKE! Weka source, na kama hauna, safari njema!!
 
Narudia Tena,wewe ni mkurupukaji,either kwa kutambua ama kutojitambua.Na sababu ni hizi..
  1. Data zilizoletwa ni kuanzia kipindi cha takribani wiki moja,Julai 4 mpaka Julai 8 mwaka 2016(As per Geo Poll Monitored).Je data zako ni za kipindi hicho?Hapana kwa kuwa (ulipokopy na kupaste habari tu ni ya tarehe Juni 21,kwa hiyo hata hiyo monitoring(ya tar 4-8 july) ilikuwa haijafanywa)
  2. Taarifa za (na data zilizoletwa na mleta mada) uzi ni tofauti kabisa na hizo data ulizotukopia na kupaste hapa..Mleta Uzi kaleta data za za takribani siku tano/wiki moja zikionesha mnyumbuliko wa vipindi husika katika kipindi hicho pamoja na wasikilizaji wake,wewe umeleta data za overall(ambazo ni za nyuma zaidi/kidogo)kubishia kitu tofauti..sasa huoni ni ukurupukaji huo.Tatizo langu kwako ni ukurupukaji na si kukataa data ulizoleta kuwa ''fake''.Jifunze kuhusianisha vitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom