Tetesi: Duru: Lukuvi kumrithi Kinana?

'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'

Duru.

Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Pitisha kwanza ujumbe huu kwa Britanicca ili aidhinishe.
 
Back
Top Bottom