Tetesi: Duru: Lukuvi kumrithi Kinana?

'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'

Duru.

Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Walikomtoa alifanya vizuri zaidi, huko wanakotaka kumchomeka wanamharibu
 
'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'

Duru.

Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Nadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.
 
Nadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.
Forbid hizo kura za vijana, kama ikitokea vijana wakapiga kura kwa uwingi na umoja wao basi ccm itafute kabati la kujifungia, vijana hawaitaki ccm kabisa!! Kabisa kabisa! Ila tuelewe tu kuwa ujana au uzee kwa africa hii una tafsiri tofauti na kwingineko, hapa tanzania unaweza ukampata kijana mwenye miaka 40 au ukampata mzee mwenye miaka 25, ila ukweli ni kuwa nchi hii ina wazee wengi vijana kuliko vijana wazee, sasa hawa wazee vijana na wazee kichwa ndiyo wanaoiweka ccm kileleni,otherwise ccm ingeshakuwa dusted off.
 
Back
Top Bottom