msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,777
- 5,953
Acheni mapenzi ya dini kwenye mambo ya msingu..Vita vya kagera wanajeshi wastaaf wa Uganda wandamizi wanasema haikua mpango wa kuivamia Tanzania wala si mpango wa kukusudia vita ila jeshi wao mwenye cheo cha chini alipitikiwa na ujana kuvuka mpaka na kupigana club za starehe .Kilichotokea kama kawaida baadh ya majeshi kujifanya wababe akarudi kuchukua wenzake hapo ndipi tafran ilianza.Wastaaf hao wanasema haukua mpango wa Idd amin dadaa.Idd amin alikua ni muislam na ameharamishiwa kula nyama ya mtu ama kudhini .Hakuwahi kula nyama ya mtu.Aliponzwa na uislam wake na mikakati yake .Pamoja na hayo ubabe wake ni kama tu wa viongozi wa kiafrika waliopo sasa.
Kuna video halisi hata youtube inamuonesha idd amin anapokea bendera ya chama cha mapinduzi(ni kama bndera ya taifa kwa kipnd hcho) huku anawapongeza wanajeshi wake kwa uvamizi ule ..
Na akasema "wakat mwngine mambo yakiwa mazuri tutasafisha mpaka dsm"..kwahyo hao wanajeshi waliopgana club ndio wakapeleka bendera kwa amir jeshi mkuu wa nchi yao.??
Ingieni darasan badala ya kushinda madrasa tu,ungeingia darasan ungejua kwamba mwaka 1972 idd amin alirusha kombora pale mwanza akajitetea kuwa ni mwanajeshi asiye na nidhamu ndiyo alifanya hivyo..
Baadae ndege ya kivita ya Uganda ikiendeshwa ya Amni mwenyewe iliingia mpaka mpaka wa Tanzania hali iliyo7bishaa taharuki na hakuna kauli iliyotoka uganda..
Na kama hujui tanzania haikuingia vitani ili iipige uganda nia ilikuwa ni kuondoa majeshi ya uganda yaliyokuwa yanakalia sehem ya Tanzania ambao wewe kutokana na dini yako unasema walikuwa club..
Lakini baada ya kuyaondoa majeshi ya amini viongozi wakuu wa jeshi wakat huo wkamshauri mwalimu kuwa wakimuacha atakuja kujipanga zaid na kuwasumbua tena baadae hvyo wamfuate kulekule wamalize kazi kabisa..
Elimu,Elimu,Elimu..