kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 852
Mbona nyie CHADEMA mnajadili kuhusu Katibu Mkuu ajaye wa CCM sasa hivi.WanaCCM waacheni CHADEMA Na mambo yao mbona CCM MNA misukosuko mingi ? Mngetumia muda mwingi kusema yenu , wabunge wenu wala Rushwa , majipu ni Wanaccm, ili mradi kila uozo wa nchi ni ccm