binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 10,750
- 27,476
Hahahahaa we hufai aiseeeDudu Baya anafanyiwa interview ya nini?
Hahahahaa we hufai aiseeeDudu Baya anafanyiwa interview ya nini?
Na wewe heshimu mawazo ya Mwana FAMwana FA anatakiwa kuheshimu mawazo ya Dudu japo sio kauli nzuri aliyotoa
Hili ndio tatizo kubwa katika jamii zetu ,na si kwa chid pekee, watu hawataki kuambiana ukweli, Kuna matatizo ambayo hata mtu yakikukuta tunaweza kusema ni mipango ya mungu lakini si mambo kama haya ambayo mtu anatumia gharama kununua matatizo halafu leo hii watu wakiongea ukweli wanaonekana wabaya. Hivi unategemea kitu gani kikukute wakati tnajiweka mwenxewe katika mazingira ya hatari. Binadamu tumepewa akili na hiyari mambo mazuri yanajulikana na mabaya yanajulikana tuache unafikiNaomba mjiulize kidogo, Dudubaya kakosea nini kutamka hayo? Ni nani aliyemlazimisha Chidi kubwia unga? Mnataka kuniambia kuwa Chidi alikuwa hajuwi madhara ya unga? Alikuwa anabwia kwa kujificha na baadaye hadharani huku akisanifu watu, leo yuko hoi anaomba wajinga wamsaidie, really? Watu kibao walitaka kumsaidia Chidi kabla hali yake kuwa mbaya na akawatukana kwa kiburi. Dudubaya hana kosa bali amekerwa na hii tabia, namuunga mkono.
Kwani dudu baya si ndo huyo huyo mamba!mwambie huyu Dudubaya asimtukane Mamba kabla hajavuka mto
naye anasaidiwa kama chidi benzDudu Baya anafanyiwa interview ya nini?
Siyo kila wazo ni la kuheshimiwa Mkuu.Mwana FA anatakiwa kuheshimu mawazo ya Dudu japo sio kauli nzuri aliyotoa
Hili ndio tatizo kubwa katika jamii zetu ,na si kwa chid pekee, watu hawataki kuambiana ukweli, Kuna matatizo ambayo hata mtu yakikukuta tunaweza kusema ni mipango ya mungu lakini si mambo kama haya ambayo mtu anatumia gharama kununua matatizo halafu leo hii watu wakiongea ukweli wanaonekana wabaya. Hivi unategemea kitu gani kikukute wakati tnajiweka mwenxewe katika mazingira ya hatari. Binadamu tumepewa akili na hiyari mambo mazuri yanajulikana na mabaya yanajulikana tuache unafiki
Nawakubali sana wale wakongwe waliofanikiwa kukwepa mtego huu wa ngada: kina dudubaya, juma nature etc, ila wengine kina mr. Nice naona hali nao ni mbaya!
SALUTI SANA.
bange n mboga nzuri ya majan ukiiwekea karanga ,maziwa pemben ugali wa udaga(muhogo) sema watu wanabadili matumiz siku hizi had mbegu za mchicha wanatumia kama bangeeAyo mengine utajua mwenyewe ....ila kikubwa marijuana sio madawa ya kulevya
Rehab ya Bangi ni mental hospital.Kwa mfano zanzibar kidongo chekundu ipo pale .Wapo wengi wahanga wa Bangi.Dar ipo wapi mental hospital??ukafanye utafitiKwan kuna rehab ya bangi