Tetesi: Dube amesaini Yanga tayari

We unaota kama Mchezaji wa wastani kama Mayele aliweza kua Top scorer japo Kwa mbinde hivi kuhusu Dube???
Nakuhakikishia atakua mfungaji Bora msimu ujao
Bora ningeota...ila nipo live kabisa...
Hana maajabu...kwani alivyokua anacheza Azam alikua na mguu mmoja?
 
Tatizo la Prince Dube ni majeraha tu. Ila akiwa kwenye ubora wake, hakika ni mchezaji hatari sana.
Nahisi pia, Azam program zao haziko sawa.

Makipa wao wote majeruhi, Mustafa kipa wa kuazima.

Mshambuliaji Jitu mwitu majeruhi.

Majeruhi wengi sana
 
Back
Top Bottom