CaramelButterfly
New Member
- Mar 22, 2023
- 1
- 11
Mimi ni miongoni wa wakereketwa kutokana na hizi simu za marketing za DSTV. Wamekuja na njia mpya ya kupigia watu simu kwa namba tofauti tofauti binafsi. Kama mtu hajalipia kifurishi kwa muda mrefu lazima ana sababu binafsi na kama ana shida pia atawatafuta kwa namba zenu za mawasiliano ya kiofisi. Tumechoka kupigiwa simu hizi. Tafuteni njia nyingine ambayo haina usumbufu.