DSTV, mbona kisimbuzi kina reboot?

Montserrat

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
10,597
14,285
Decoder ya Dstv ina reboot, haifungui channels. Tatizo limeanza jana mpaka leo bado linaendelea.

Ni kwangu tu au kuna maintenance inaendelea?
 
Kwangu huwa ina reboot mda mchache tu inarudi Normal

Na naangalia Salvador show channel 161 hapa fresh kabisa

Hakimisha waya zimechomekwa vizuri especially ule wa dish
 
Back
Top Bottom