real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,296
- Thread starter
- #21
wewe timu bora unaipima kwa kuangalia possession? kipimo cha zamani sana hicho , kama ume observe siku hizi possession sio kituWewe acha kupayuka check possecion ilikuwa inaonyesha vipi? Kwanza Kafika kibahati-bahati mno...na kwa taarifa yako tu hii ndoo ndoo inaenda spain
na Liverpool walicheza game mbili na Dortmund sasa unapoaema alibahatisha na wakati kule kwao alimbana na draw ya 1-1?
mimi sisemi Liverpool atachukua au la kwa kuwa matokeo ya mpira yanategemeana na vitu vingi
ninachosema Liverpool amestahili kumtoa Dortmund