Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,467
Fainali Bayern vs Napoli
Namchukia Pep Gadiola kuliko Watu wote duniani lakini katika hili nimeweka hisia pembeni natumia akili kuwa Man City imeshapita kwenda nusu fainali ya UEFA champions league May 2022/2023.Ah wapi!
Bayern anapita ndugu.
Endeleeni kukariri, cityzens mpaka final.Man city naona katolewa sadaka kabisa
Hapatosha hapo Man city vs BayernNusu Fainali
- Real Madrid Vs Chelsea
- Inter Vs Benfica
- Man City Vs Bayern Munich
- Ac Milan Vs Napoli
- Mshindi kati ya Ac Milan Vs Napoli atakutana na mshindi kati ya Inter Vs Benfica
- Mshindi kati ya Real Madrid Vs Chelsea atakutana na mshindi kati ya Man City Vs Bayern Munich.
Mechi za raundi ya kwanza zitachezwa Aprili 11 na 12, 2023, marudio ni Aprili 18 na 19, 2023
Kombe la napoli hili
Bayern atatoboa kwa Pep ?...hapo pagumu.Fainali Bayern vs Napoli
Pep mbona wa kawaida sana hatishi. Anabebwa na quality ya wachezaji.Bayern atatoboa kwa Pep ?...hapo pagumu.
Kwa quality aliyonayo Pep, akiwa mtulivu anaweza kuishangaza Bayern.Pep mbona wa kawaida sana hatishi. Anabebwa na quality ya wachezaji.
Sio kwa bayern hii ya choupo motingNapoli anacheza fainali
Game za upande wa kulia zote kali, hasa ya city na bayern. Nawaona wazee wa munich wakifika finali, ila sio kirahisi.
Fainali itakua kali sana.