Dr. Tulia Ackson kupokewa Dar kwa shamrashamra, ni baada ya kulisimamia bunge vyema

Hongera Naibu.Na bado.Wale walioponea chupuchupu kusimamishwa mjengoni watashughulukiwa bunge lijalo.Mwisho wa siku tubaki wenyewe tu tunaozungumza lugha moja.
Hongera sana dk Tulia kulifanya bunge letu liwe la chama kimoja tu cha ccm
 
Hapa panahitaji uwazi! wanaojipendekeza kumwaribia Magufuli kwa kingo ya Naibu spika tutawajua na Uyatumbue Mzee.! no change mindset.
 
Nakuona! kizazi cha JF 2015 tukijiandaa kwa kampeni za uchaguzi.
Wananchi muliona wapi akisimamia vizuri wakati halikuonyeshwa? Tufikie hatua tujifunze kutumia akili zetu badala ya kushangilia ya wengine tuuu.

Iko siku mutashangilia kuku kuwika wakati ni kazi yake.
Hahahahahaha
 
Hilo bunge aliloliendesha vizuri wamelionea wapi wakati bunge lime pigwa pin code.
Kama sio unafiki ni nini?
 
Kwani bunge si ilikuwa inaonyeshwa Mkuu...

Wananchi wengi walikuwa makini kufuatilia vipindi vya usiku... Sema wewe ndio ulikuwa huwezi kufatilia usiku
Wajinga ndio waliwao!
Hilo lilikuwa bunge! hadaa...... Ahaaa, kweli lilikuwa bunge kwa sababu ulikuwa unaona ukumbi wa bunge.
Halafu kwa akili tu ya kawaida, hivi inawezekana mtu ashinde na kazi zake kutwa nzima halafu badala ya kupumzika akae kutazama matangazo yalochujwa kwa kuchambua kipi kiende na kipi kisiende!?
 
1467361395012.jpg
 
Baada ya bunge kuhairishwa leo, wananchi kwa umoja wetu tunatoa pongezi za dhati kwa Dr. Tulia Ackson, Naibu Spika..

Dr. Tulia kaliongoza bunge kwa speed and standard. Ameonyesha ujasiri, ukomavu, hekima na busara ya hali ya juu katika hili bunge...

Wananchi tumejipanga kukupokea kwa shamrashamra hapo kesho kutwa utakapowasili Dar es Salaam..

Hongera sana mzalendo na mpigania haki za wanyonge!
Kibali cha Polisi kimepatikana? hakuna taarifa ya intelegensia walizopokea Polisi kama mapokezi hayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani? MWENYE JIJI ataruhusu kufanyika shamrashamra hizo
 
Kibali cha Polisi kimepatikana? hakuna taarifa ya intelegensia walizopokea Polisi kama mapokezi hayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani? MWENYE JIJI ataruhusu kufanyika shamrashamra hizo
Siasa ni marufuku mpaka 2020.Wajifunze utii wa sheria bila shuruti.
 
Et wanaweka pesa bank hayo mabenk yamejaa mijini huko vijijini pesa zao wanawaka wap? Na hao vijana gani wacheza pool au mabingwa wa kubet akili hiz had huruma. Kwanza hakuna mtanzania mnyonge unyonge umeletwa na serikali ya ccm ni msemo ni slogan ya magufuli kama kas mpya ali mpya maisha bora kwa kila mtz hivi unakuwaje mnyonge kwenye taifa lako? Acheni hicho kichaka cha ma slogan yasiyo na mantik kumzubaisha mtz
Bora hata ungeendika kilugha chako
 
Back
Top Bottom