Dr. Slaa huko Ulaya ni mwanafunzi, mwajiriwa au ni mfanyabiashara?

Jamani, mzee wa watu anahitaji kupumzika na kufanya mambo yake.
Mnasema alikuwa analipwa mshahara mkubwa na mengineyo, anatumia sasa.
Hakuna ubaya.
 
Kwasababu aliwahi kutuambia kuwa alikuwa anakula mihogo nina maswali yafuatayo kwake.

1.Kutoka kula mihogo mpaka kusoma Ulaya(kama ni mwanafunzi) hii ni hatua kubwa sana na ya kupongeza ila atuambie tu ni nani anagharamia masomo yake/nani alimwezesha?

Itakuwa vizuri zaidi kama atatuonyesha na "admission letter" yenye tarehe zile zile au tarehe zinazokaribia kipindi kile anaondoka nchini.

2.Kama ni mwajiriwa,atuonyesha barua ya kuitwa kazini/kuajiriwa ya tarehe zile zile alizoondoka nchini maana huwezi kwenda kuishi Ulaya ghafla tu kama huna ajira ya kueleweka na kwa hadhi yake hatutarjii alienda Ulaya akitegemea kuishi kwa kazi za vibarua/kazi za kubahatisha.

Ikiwezekana atuonyesha na kibali cha kufanya kazi cha tarehe zile zile alizoondoka nchini.

Kama ni mfanyabiasha huko Ulaya hivi sasa, tunaomba atueleze ni wapi alipata mtaji wa kwenda kufanya biashara huko Ulaya.

Karibu mh.kwa ufafanuzi.
Mmemshindwa Magufuli mnamuandama mzee wa watu
Unataka akuoneshe barua ya kujiriwa wewe kama nani,ili iweje.
Unataka hayo maelezo yote wewe Mushumbusi au Rose Kamili?
Slaa aliwahi kuwa Padri,na bado mwenyekiti wa bodi ya CCBRT ana PHD ya Teolojia.
Ni rahisi sana kwake kupata kazi katika mashirika ya kikatoliki kirahisi mno,pia ukiwa Canada kusoma kwa kupata Scholarship,kwa mtu mwenye mtandao ndani ya Kanisa katoliki kama Dr.Slaa ni jambo dogo sana.
Mwacheni mzee wa watu ale bata wake huko,mna stress za chama kufeli,Mashinji kashindwa kufika hata robo ya utendaji wa Slaa,sasa hasira mnarudisha kwa Dr.Wilbrod Slaa?Nendeni tu mkamuombe radhi,yule ni muungwana aje anyooshe Chama chenu kinachoelekea kaburini
 
Kwasababu aliwahi kutuambia kuwa alikuwa anakula mihogo, nina maswali yafuatayo kwake.

1.Kutoka kula mihogo mpaka kusoma Ulaya(kama ni mwanafunzi) hii ni hatua kubwa sana na ya kupongeza ila atuambie tu ni nani anagharamia masomo yake/nani alimwezesha?

Itakuwa vizuri zaidi kama atatuonyesha na "admission letter" yenye tarehe zile zile au tarehe zinazokaribia kipindi kile anaondoka nchini.

2.Kama ni mwajiriwa,atuonyesha barua ya kuitwa kazini/kuajiriwa ya tarehe zile zile alizoondoka nchini maana huwezi kwenda kuishi Ulaya ghafla tu kama huna ajira ya kueleweka na kwa hadhi yake hatutarjii alienda Ulaya akitegemea kuishi kwa kazi za vibarua/kazi za kubahatisha/casual labour.

Ikiwezekana atuonyesha na kibali cha kufanya kazi cha tarehe zile zile alizoondoka nchini.

3.Kama ni mfanyabiasha huko Ulaya hivi sasa, tunaomba atueleze ni wapi alipata mtaji wa kwenda kufanya biashara huko Ulaya.

Karibu mh.kwa ufafanuzi.
Kweli mzee amewacha kidonda ndugu,hamumsahau?si mnao EL na mapesa yote na kundi kubwa aliohamanao,ameondoka kwa amani na mwacheni apumzike,nyie subiririni hao wa kilimanjaro ambao wakisikia hela kauli inabadilika waiondoe CCM kwenye ndoto,mrema,mbatia,lema na mbowe.
 
3.Kama ni mfanyabiasha huko Ulaya hivi sasa, tunaomba atueleze ni wapi alipata mtaji wa kwenda kufanya biashara huko Ulaya.

Karibu mh.kwa ufafanuzi.[/QUOTE]

.......
..........Canada Ulaya?

Dunia Uwanja wa Fujo
 
Aliyejuu lazima atashuka tu...tunakusubiria chini baby Josephine mkimaliza pesa mlizo pewa kuwanyima Watz. mabadiliko mtarudi tu mwenzako alipigwa changa la macho na sasa kawa kama mwehu mwenye ulinzi wa muda anateseka mbaya sana.
Dhambi ya usaliti hakika itawatafuna wote juu ya ardhi na hata chini ya ardhi.
Propesa hakika atakuwa anakusimulia mateso ya tumbo anayoyapata...
 
Pikipiki zote ni Honda na vituo vyote vya kujazia mafuta ni sheli!
Duh!
Jamiiforums bana.

Hata kama hutaki kucheka inabidi ucheke tu.

Umenikumbusha wakati nikiwa kijijini na inabidi utumie baiskeli kwenda wilayani kununua mafuta ya taa kwenye vituo ambavyo tulikuwa tunaviita sheli wakati ukiwa safarini ikipita pikipiki unasema, sijui lini mzee wangu atanunua Honda.
 
mzimu wa Slaa bado utawatesa sana chadema! mashinji ameonesha dhahiri udhaifu wake!
Mtu dhaifu sana ni yule aliyehongwa Lumumba. Km unaona kunamzimu unaotesa labda una ushoga nae tu. Huyu ni msaliti. Pesa ya kuishi Marekani kapata wp? Acha uzuzu. Umetoka kule nn?
 
Wewe Salary Slip kweli wewe ni salary slip ya ujira wa kibarua. Sasa Dr. Slaa akuambie mambo yanayohusiana na maisha yake binafsi ili ufanyaje au ikusaidie nini. Kwani wewe jina lako halisi ni nani na kibarua chako cha kuja ku post hapa JF kilasiku umeajiriwa na nani na barua yako ya kazi umemuonyesha nani?
 
Kwasababu aliwahi kutuambia kuwa alikuwa anakula mihogo, nina maswali yafuatayo kwake.

1.Kutoka kula mihogo mpaka kusoma Ulaya(kama ni mwanafunzi) hii ni hatua kubwa sana na ya kupongeza ila atuambie tu ni nani anagharamia masomo yake/nani alimwezesha?

Itakuwa vizuri zaidi kama atatuonyesha na "admission letter" yenye tarehe zile zile au tarehe zinazokaribia kipindi kile anaondoka nchini.

2.Kama ni mwajiriwa,atuonyesha barua ya kuitwa kazini/kuajiriwa ya tarehe zile zile alizoondoka nchini maana huwezi kwenda kuishi Ulaya ghafla tu kama huna ajira ya kueleweka na kwa hadhi yake hatutarjii alienda Ulaya akitegemea kuishi kwa kazi za vibarua/kazi za kubahatisha/casual labour.

Ikiwezekana atuonyesha na kibali cha kufanya kazi cha tarehe zile zile alizoondoka nchini.

3.Kama ni mfanyabiasha huko Ulaya hivi sasa, tunaomba atueleze ni wapi alipata mtaji wa kwenda kufanya biashara huko Ulaya.

Karibu mh.kwa ufafanuzi.

Wewe ni nani mpaka yeye (Mzee Slaa) akuthibitishie kuhusu maisha yake?
 
Inashangaza kumbe watu wote wanaoenda ulaya wanatakiwa watoe taarifa kwako kwa kile wanachoenda kufanya huko, na lazima wakueleze mitaji wamepata wapi, tumia akili acha kujitoa ufahamu manake kuna watu wameamua kujitoa ufahamu kwa kazi ya kufuatilia kila jambo na kukosoa ili wapate malipo kutoka kwa mzee mamvi
 
Umeelewa ndio maana povu limekutoka.
 
salary slip...wewe ni mke wake au? unataka kujua vitu vyake dr ww ni nani? Hilo swali anatakiwa amuulize mama yako sio wewe
 
Back
Top Bottom