Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,576
- Thread starter
- #41
Wapenzi wote wa Rubisi tukutane hapo sleep way kusherehekea kaushindi haka ka demokrasia bwana ,kwani tayari nimeagiza dumu mbili ziinakuja kwa ndege jioni hii ili tuweze kukutana na wakina Ruttakolezibwa, Ruttakyamirwa, Ruttasitara, na wotenwa pale Nyakibimbili ili tuweze kupata kamnyama na kalubisi wengine wanakaita kamnyama eti Hot Chair in Engilish bwana wewe.
Mapambano yanaendelea ,na huu ni mwanzo tuu wa ushindi japo hili ni goli la pili kwani la kwanza lilikuwa kwenye list of shame , sasa la tatu laweza kumfanya kipa akaomba kupumzika kwani anaweza kuteguka kiuno na timu yenyewe haina kipa wa ziada sasa tunasubiria.