Kama noma na iwe noma nipo tayari:rip::rip::rip:
Nwachukia mpaka nakosa lugha ya kuelezea Makame na Kiravu wake, MUNGU awalaani kwa kudhulumu haki ya watanzania na vizazi vyao vyote, maisha yao ya uzeeni yawe ya taabu sana na mwisho waishie kuzimu kwa dhambi kubwa waloifanya kwa Taifa la TANZANIA.
Dr. Slaa toa tamko lingine nini watanzania wafanye nini hii kitu haiwezekani...watanzania wanasubiri tamko lianzie kwako wao hawawezi kunza wao...TOA TAMKO lingine
Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume, akidai kuwa yamechakachuliwa
Source ITV
akipinga haya matokeo, atakuwa chizi. Humu humu jukwaani tulisema sana, akipata asilima 20 tutashangaa sana.