Dr. Shein: Tutaendelea kutekeleza ahadi zetu tulizotoa

Muungano hauwezi kuwa salama ikiwa huku bara wanaendelea na shughuli za kiuchumi wakiwa wamesahau habari za uchaguzi na wao kule wanasubiri kama vifaranga wasiojua lini watanyonya
Mfumo uluotumika kumpata Rais tz ndo huo huo ulitumika zbar sasa iweje kule hakuna kinachoendelea?
 
Ahadi yakwanza kama anataka kutekeleza basi aondoke ikulu hiyo ndio ahadi iliyomo ktk katiba ukishindwa achia ngazi usione wazanzibar wajinga kuleta usanii
Mkuu aliahidi kuwaletea maendeleo wazanzibari sio kuondoka ikulu
 
Muungano hauwezi kuwa salama ikiwa huku bara wanaendelea na shughuli za kiuchumi wakiwa wamesahau habari za uchaguzi na wao kule wanasubiri kama vifaranga wasiojua lini watanyonya
Mfumo uluotumika kumpata Rais tz ndo huo huo ulitumika zbar sasa iweje kule hakuna kinachoendelea?
Hakuna kinachoendelea?, mbona shein amesema ataendelea kutekeleza ahadi zake,
 
Unaendeleza ahadi ulizotoa lini? Maana muda wako uliisha mapema 25/10 Tofauti ya shein na nkrunziza ni kuwa zbar hakuna machafuko tuu na sio kingine
Nauliza kwani alisign kiapo cha damu na shetani kuendelea kuwa Ikulu? Si aondoke kama kweli yeye mwana mapinduzi? Acha nature itake place
 
Labda ameamua kufuata mfano wa nkurunzinza kwa hiyo tutegemee umwagikaji wa damu zanzibar
 
Labda bara wameamua kuwasusia ili wapambane na yao maana hata wao ilifika mahali wakawa wabinafsi hawataki hata biashara moja ya mtu toka bara kule kwao!!! Hapa nimewaza kwa sauti
 
Hahahaaaa mkuu umewaza kwa sauti?, hahahahahaaa
 
Mkuu mimi natoa tu taarifa niliyoiona kwenye gazeti la serikali la zanzibar
hahaaaa ulihisi jamaaa kama anakusakama wewe, wakati wee ni mtoa taarifa tu, vp lakini kwa nini huwa unakwepa kodi? usiniambie eti "mkuu hili ni jina langu la huku tuu" niambie ni kwa nini hutaki kuchangia taifa lako?
 
Nani asiye faham kuwa Shein yuko pale kwa maslahi ya watawala flani?
Huyu mzee naamini yuko tayari kumpisha Seif but........malizia
 
hahaaaa ulihisi jamaaa kama anakusakama wewe, wakati wee ni mtoa taarifa tu, vp lakini kwa nini huwa unakwepa kodi? usiniambie eti "mkuu hili ni jina langu la huku tuu" niambie ni kwa nini hutaki kuchangia taifa lako?
Hahahahahaaa mkuu mimi ni mlipa kodi mzuri hilo ni jina tu hahahahaaaa ni kama jambazi, ibilisi, fisadi n.k. hahahaaa
 
Ameahidi kuzitekeleza ahadi zote kwa hiyo nafikiri wazanzibari watamuelewa
Mimi ni mzanzibari tena safi, na jadi yangu ni ya uhadimu lakini sijamuelewa bado. Ahadi za chama au za serikali? kama za chama sawa! lakini kama ni za serikali hapa patakuwa na mushkeli kidogo!
 
hawakuahidi? walikubaliana kuwa wataunda serikali ya umoja wa kitaifa, atakayeshindwa atakua makamu wa kwanza wa rais na mshindi atakua rais, mbona kama unamtetea?
Mimi si mtetei mkuu, mimi nipo upande wa wazanzibari na nina muomba mh. Shein kuheshimu maamuzi ya wananchi
 
Mimi ni mzanzibari tena safi, na jadi yangu ni ya uhadimu lakini sijamuelewa bado. Ahadi za chama au za serikali? kama za chama sawa! lakini kama ni za serikali hapa patakuwa na mushkeli kidogo!
Mkuu siyo mushkeli kidogo ni muskeli mkubwa sana
 
Ahadi za kung'ang'ania madaraka labda,kwa kuwa ahadi za kwenye uchaguzi wazanzibar walizikataa wanataka za CUF.
 
Back
Top Bottom