Du ina maana Pinda sasa yeye ndiye?aminiaa jamaa anatisha sana kwa sasa......balaa sana ...sasa hao kina Chenge watadhibitiwa kwa tamko la Pinda?
Baadhi ya sponsors wa Diaspora forum wamejitoa baada ya kusikia JK haji. Walikuwa wanategemea publicity na kupiga picha na JK.
Inasemekana pia kuna Wahindi wengi waliomba ubalozi ili wakutane na JK, baada ya kuona ni Shein, wakaomba majina yao yaondolewe.Nnanukuu:"Je kuna Biashara gani Pale Ikulu???" mwisho wa Kunukuu.
Hivyo akakiri kuwa ni bora asibebe lawama ya kuwadanganya watz wakati asingeweza kufanya hayo,huu ni uwazi na ukweli in real sense.At least in all his years in office Shein has come out clean.
Mkuu Ibambasi,
Heshima mbele, yaaani ni exactly alivyosema katika moja ya sentesi zake wakati akikataa kugombea urais, kwamba "....siwezi kwenda kuwadanganya wananchi, wakati ninajua nafsini mwangu kuwa ninasema uongo...".