mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Wajinga ndio waliwao,sasa kwanini ukamuone huyo ''Dr'' wakati hospitali zipo na unapata matibabu ya kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliosomea,huyo Dr wenu anawalia tu hela ,anawatapeli .Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?