Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 743
- Thread starter
- #101
Mkuu salaam,Shame of u!lipi jipya alilofanya huyu unaemsifia nenda kiuharisia acha kufikiri kwa kutumia iyo sehemu ya kati ya mwili,nenda mashuleni ukaone hali ilivo impact ya elimu mbovu inayoendeshwa,kisiasa kwa nahau zisizotekelezeka ndio maana tunazalisha watu wakusifia mapungufu km ww,sijawai ona prof,akafanikiwa ikiwa anatumika kisiasa,
Bila shaka hujasoma uzi wangu kwa umakini, Katika uzi wangu nimeelezea mambo mawili makubwa ambayo Mama Ndalichako amepambana nayo na ambayo kama asingeyashughulikia yangekuwa na madhara makubwa sana katika nchi yetu. Unapozungumzia elimu mashuleni, mkuu sio Waziri wa elimu aliyepitisha Elimu bure ambayo of course hata mimi siiungi mkono, Elimu bure ni sera ya chama cha mapinduzi ambacho mmekipitisha kuiongoza nchi, yeyw waziri hatengenezi sera, anasimamia sera ambayo imepitishwa na serikali yake. Kwann umlaumu waziri kwa jambo ambalo in reality yeye hahusiani nalo.
Nawakilisha