Kuchukua masaa mengi au machache is not an issue,what matters ni contents mkuu.Hebu kwanza nijibu,ripoti ya richmond ilichukua muda gani kukamilika? Ya nape ilikamilika masaa matatu tu hayo mengine ya 24 geresha tupu. Ripoti ya nape imejaa majungu