Dr. Mponjoli: Police smash alleged luxury car theft ring

jamani lets give salutes to the nigger,for a tanzanian to pull strings nchi za watu,hii ni landmark-lets pray he comes out of jail in one piece and carries on where he left-GOD bless mponjoli
Carry on? Next victims watakuwa Wabongo.
 
jamani lets give salutes to the nigger,for a tanzanian to pull strings nchi za watu,hii ni landmark-lets pray he comes out of jail in one piece and carries on where he left-GOD bless mponjoli

Humu ndani kuna wezi wa nyembe, kuna wazinzi, kuna waongo wakutupwa, kuna wafitini, kuna wabaniaji, kuna wanga, kuna watoa mimba, kuna wapiga puchu, wakimbia kodi, watu ambao kamwe tangu waingie ughaibuni 15years hawajatia timu bongo, wenye tamaa, watu wakufoji per DM na safari za uongo maofisini kwao, Wajasiliamali NGOs wazee wakugushi accounts,...wazee wa iGO

SASA ALIYE SAFI.....AANZE KUMRUSHIA MAWE DR MPONJOLI.

MJ
 
Ndiyo hapo sasa...kila mtu ambeubwa tofauti...

and oops i got go maana naona soon itakuja kuwa soo.....Nisije kabwa throat bure maana nimeshaona naanza lishwa maneno ya rejareja.......

tchao!...

You dont need to go nowhere KELLY kuna malaika humu ambao wanaishi kama YESU ambao wanaweza kumpangia mtu maisha yakuishi.....

Kama hivyo kungekuwa hakuna sheria wala mapolisi na mahakama duniani, lakini tuko tofauti na wanajua hilo hawa jamaa zetu watakatitu ambao maybe last week wamewapeleka ma girl friends zao kwenye zahanati za kata kutoa mimba nyingine....

MJ
 
Katika multi-ethnic societies kama Marekani na Uingereza nini kinakufanya udhanie kuwa victims wote ni wazungu? Unless awe anawalenga wazungu tu katika wizi na udokozi wake la sivyo sidhani hata wewe ukijilengesha lengesha kwenye anga zake atakulazia damu.

Si unajua mijitu inavyoongea pumba bila kutumia akili. Mtu yoyote mwenye gari anakuwa na insurance. Na kama aliwaibia matajiri UK, basi insurance zao zimewapa magari mapya.

Na kwa takwimu zote za insurance, maeneo wanayokaa watu weusi insurance ni kubwa japokuwa wanaendesha magari mabovu.
 
Very vey Goooooooooooodoooooo Dr, igweeeeeeeeeeee, this is what can make a lesson, wizi uibe kwa wenye nazo ukiiba kwa makabwe ni kuwatia umasikini wa milele, utawaua.......BG up ma man!!!....
 
Very Gooooooooooood Dr, this is what can make a lesson, wizi uibe kwa wenye nazo ukiiba kwa makabwe ni kuwatia umasikini wa milele, utawaua.......BG up ma man!!!....

Acha kumlostisha mwenzio wewe. Anayenyea debe sasa hivi ni yeye na si wewe.....duh...hizi big ups zingine hizi....kaaaazi kweri kweri
 
Humu ndani kuna wezi wa nyembe, kuna wazinzi, kuna waongo wakutupwa, kuna wafitini, kuna wabaniaji, kuna wanga, kuna watoa mimba, kuna wapiga puchu, wakimbia kodi, watu ambao kamwe tangu waingie ughaibuni 15years hawajatia timu bongo, wenye tamaa, watu wakufoji per DM na safari za uongo maofisini kwao, Wajasiliamali NGOs wazee wakugushi accounts,...wazee wa iGO

SASA ALIYE SAFI.....AANZE KUMRUSHIA MAWE DR MPONJOLI.

MJ
Tunamrushia yeye jiwe, na tunashiana sisi wenyewe kwa wenyewe mpaka kieleweke..litakayempata jiwe akadondoka basi ..itakuwa ahueni amepungua...mpaka mwisho wa dunia tuna komaa nao...
 
Very vey Goooooooooooodoooooo Dr, igweeeeeeeeeeee, this is what can make a lesson, wizi uibe kwa wenye nazo ukiiba kwa makabwe ni kuwatia umasikini wa milele, utawaua.......BG up ma man!!!....

Na mafisadi hawaibii masikini. Wanaibia taasisi zilizonazo ambazo directly or indirectly zina impacts kubwa na makabwela. Hivyo basi muache kuwapigia kelele wakina Jeet.
 
Jamaa anatofauti gani na baba yako aliyekwapua hela ya serikali ili aweze kukupenyeza ughaibuni?.
 
Jamaa ni mgonvi balaa...

Jamaa hata UK wakimpiga chini ataingia nchi yeyote Europe au hata Canada na upigaji utaendelea...the dude is only 36 na anahasira ya hela ile mbaya.

Mkuu,

Hayo unayosema ni "too little too late". Unajua sasa hivi wazungu wanafahamu kuhusu waafrika kuliko sisi tunavyodhani. Je unafahamu kwamba UK Border Agency wana ofisi na "personnel" wa kutosha pale Lagos?

Hii ni ishara tosha kwamba kwa sasa wanafahamu mbinu zote.

Kwanza, nchi zote za Ulaya na Marekani pamoja na Canada zinabadilishana taarifa mbalimbali za watu waliomo katika "watch list", kwahio hapo the so called Dr hataweza kufanya unavyodhani.

Pili, unasema ana miaka 36, ok sio mbaya lakini unasahau kwamba anaenda kupoteza miaka mingine si chini ya mitano jela, kwa hio tuchukulie anatoka jela na "criminal record" ambayo kwa Ulaya atakuwa kwenye database ya "criminal records bureau" au CRB na itakuwa "noted" kwamba ni mwizi wa kimataifa, hio ni sababu tosha ya kumfanya asumbuke maishani bila kazi yoyote ya maana akiwa nje ya Tanzania.

Halafu pale unapohukumiwa kwenda jela kwa sasa ukiwa Ughaibuni kama wewe ni mgeni hasa UK deportation inakuwa ni automatic baada ya kuwa noted na jaji.

Kwahio ukiangalia sana utaona kwamba jamaa ni bora angekuwa mpole kama sisi wengine na angesoma na kubeba boksi na kufanya mambo yake taratibu kwani maisha hayataki haraka.
 
Alivyo pigwa chini US watu mlisema hayo hayo..........UK boarder agency ya nigeria wanapigwa bao kila siku...FYI

Tegemea kumuona mtaani next year.
 
Julius,

Dr Ponjo ni hatari sana , alishafanyiza sana hapo Dallas kabla ya kurudishwa nyumbani . Trust me $ 350, 000 kwa dokta ni change tuu ! Huyu jamaa atatoka jela na atarudi kwenye fani yake...
..Mh! Jamaa fani yake ni wizi mpaka kapata PhD? au ni Dr. wa nini saidia jamani!!!
 
Makabila mengi ya Kiafrika ukiiba nje ya JAMII unakotoka ni USHUJAA! Ndio maana hata akina EL, AC, walipokelewa kishujaa huko majimboni kwao.
 
Jailed Tanzanian car thief with alleged EPA scandal links: No comment from either DCI or DPP

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

LOCAL authorities appear to be somewhat unaware of key findings by British investigators that suggest that a Tanzanian man jailed for his involvement in a multi-million pound car thefts operation in the UK is linked to the Bank of Tanzania (BoT)’s external payment arrears (EPA) account embezzlement scandal.

Both the Director of Criminal Investigations (DCI), Commissioner of Police Robert Manumba, and the Director of Public Prosecutions (DPP), Eliezer Feleshi, remained tight-lipped on the matter when contacted by THISDAY over the weekend.

The Director-General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Dr Edward Hoseah, was not immediately available to offer his own comment.

Investigations in the UK have managed to establish certain connections between the Tanzanian national, Mponjoli Malakasuka, and the 133bn/- EPA account scam in Tanzania.

The discovery is reported to have been made while probing Malakasuka’s finances.

The 36-year-old was last year sentenced to serve a three-and-a-half-year prison term on a conspiracy to steal conviction, after pleading guilty to involvement in an international racket that exported stolen luxury vehicles from the UK to Tanzania and neighbouring Kenya.

British police say Malakasuka could now be deported from the UK or extradited to Tanzania when he finishes his sentence.

According to informed sources, the investigation into his apparent links to the EPA fraud is still in its early stages.

Britain’s the Serious Fraud Office (SFO) was asked to assist in the investigation after it emerged that Malakasuka’s banking transactions were somehow linked to the EPA scandal.

It is understood that investigators from the SFO in London are now working with Tanzanian authorities on the issue.

But when sought out in Dar es Salaam over the weekend, DCI Manumba told THISDAY that he could not comment on the allegations since the EPA cases are already pending in court.

’’In any case, the competent person to comment on this issue is the DPP,’’ said Manumba.

Likewise, DPP Feleshi would not offer any details on Malakasuka’s alleged connection to the EPA scam.

Members of the UK’s Police Authority were reportedly briefed on the case by outgoing chief constable Sir Paul Scott-Lee some weeks ago.

In his report to the Police Authority, Sir Paul wrote: ’’Officers are currently assisting the Serious Fraud Officer in London and Tanzanian authorities, which may lead to the man (Malakasuka) being extradited.’’

Malakasuka entered the UK via the United States in 2004, and managed to get a temporary visa despite having a previous conviction for fraud for which he spent time in a US jail.

Police sources say if sufficient evidence linking him to the EPA scandal is found, he could be brought to Tanzania and joined in the ongoing EPA trials in a Dar es Salaam court.
 
Back
Top Bottom