Dr. Mahiga ni moja ya chaguo bora Magufuli alifanya

Ki-jafo nacho msikisahau naona kila uchao kinajikakamua kionekane ila hamna kitu ni buuure kabisa dah nisiwasahau akina kigwa na umi wake kwakweli ni sifur hawa watu


ulishawahi kuona wapi mzaramo akawa kiongozi bora?
 
Tuache kuchimba chimba. Mahiga anajua kazi sana. Hawa wengine wa afya,sijui nishati, na vikaragosi wengine ni weupe sana.
 
Ki-jafo nacho msikisahau naona kila uchao kinajikakamua kionekane ila hamna kitu ni buuure kabisa dah nisiwasahau akina kigwa na umi wake kwakweli ni sifur hawa watu
Kigwa ni "rahisi" wa awamu ijayo
 
Wasiotaka kuharibu rekodi zao hawawezi kukubali kazi za high profile za serikali.

Hakuna mtu yeyote ambaye kafanya kazi ya high profile ya serikali Tanzania ambaye ameondoka intact.

So I am sure he will be tainted.

What I am intetested is how will he use his international experience.

Alivyokuwa NYC milikuwa napata story naye sana, ananipa habari za alivyopambana mpaka Tanzania ikaingia kwenye security council, geopolitics za security council, jinsi walivyopambana kufanya food security nchi masikini iwe agenda on a par with the then overly dominant "war on terror", nil8kuwa nafurahi sana kukaa naye. Dr. Mahiga ni kati ya ma Dr. wa Tanzania ambao ukimsikia unaelewa huyu mtu ana uzoefu na usomi. Sio ma Dr. wenginw unashangaa huyu kawezaje kuwa Dr. ?
So Dr.Banah anampita huyu Dr.Mahiger????
 
1. Mahiga alisha wambia mabalozi mambo ya Tanzania waachie watanzania.
2. Pia Jibu la Magufuli analo mfukoni mwake.
3. Kwa uzoefu alio nao naamini aatapatia kuwanyamazisha hawa wakoloni
Wakoloni wa Zanzibar ni Jecha na wenzake
 
Ktk mambo ambayo yatampunguzia kazi magufuli ni uchaguzi wa Dr Mahiga kwenye nafasi ya Waziri mambo ya nje
1. Kwanza ana uzoefu kwa maana kwamba hahitaji kusimamiwa .
2. Ni mtu mwenye Busara ktk kutatua matatizo na kuleta magusiano.
3. Sidhani kama atafanya kazi kwa kutaka kujipaisha ili siku moja awe Rais.
4. Ni mtu ambaye Magufuli anaweza kumtuma sehemu yoyote duniani na akafanya kazi nzuri yenye kiwango.
5. Ana uwezo wa kumshauri Rais Magufuli ktk mambo mengi ya kimataifa.

Japo wapo mawaziri wengine ambao si mawaziri wa kusimamiwa lakini Mahiga anaweza kuitangaza Tanzania vizuri pengine kuliko waloo mtangulia kwenye nafasi hii.
Big up Magufuli & Mahiga.

Katika chaguo bovu liliofanywa na awamu hii kuliko awamu zote ni kuchaguliwa mwanadiplomasia huyu dhaifu kuliko wote waliotangulia.

Mtihani wa mwanzo ulikuwa kuhushughulikia mzozo wa Burundi, hakuna kilichofanyika

Mtihani wa pili ulikuwa kuhusu mzozo wa Zanzibar,aliyaparaganya mambo kwa kutoa kauli za mitaaani. Ilibidi Waziri aliemaliza muda wake hivi karibuni, Bernerd Membe, kutoa ushauri wa kidoplomasia zaidi. Lakini waziri wenyewe ni Thumun Buqmun, U' muyun'

Tutawakumbuka wana diplomasia mahiri wa nchi hii walioiletea sifa ndani na nje ya nchi ,kama vile Kikwete, Dk.Salim, Bernerd Membe, Malecela, Ahmed Hassan Diria, Mkapa. Hawa ndio Tanzania ilijivunia kuwa wana diplomasia wenye uwezo wa kutafakari na uwezo wa kutoa uamuzi na sio " rubber stamp"
 
Back
Top Bottom