Akili yake inachapa mzigo kama wembeMzee sana miaka 71.
Ktk mambo ambayo yatampunguzia kazi magufuli ni uchaguzi wa Dr Mahiga kwenye nafasi ya Waziri mambo ya nje
1. Kwanza ana uzoefu kwa maana kwamba hahitaji kusimamiwa .
2. Ni mtu mwenye Busara ktk kutatua matatizo na kuleta magusiano.
3. Sidhani kama atafanya kazi kwa kutaka kujipaisha ili siku moja awe Rais.
4. Ni mtu ambaye Magufuli anaweza kumtuma sehemu yoyote duniani na akafanya kazi nzuri yenye kiwango.
5. Ana uwezo wa kumshauri Rais Magufuli ktk mambo mengi ya kimataifa.
Japo wapo mawaziri wengine ambao si mawaziri wa kusimamiwa lakini Mahiga anaweza kuitangaza Tanzania vizuri pengine kuliko waloo mtangulia kwenye nafasi hii.
Big up Magufuli &
Umepatia kabisa. Hata mimi nilipoona amemteua kuwa waziri tena wa mambo ya nje niliona ni uteuzi mzuri. Hawa ndio watu watu wanaotakiwa kuwa karibu na rais na sio kina Makamba etc.Ndio maana nasema ataifanya kwa weledi na si kwa mbwembwe labda aje kupata urais. Ila Mahiga ameiva. Obama lazima atulie kuongea naye
Maswali kuhusu zanzibar inabidi awe anakaa kimya tu maana akiyajibu bado italeta shida tuMahiga atafanya kazi vizuri sana ila serikali inampa tabu kwenye swala kama la Zanzibar, maswali atakayo ulizwa huko nje sijui hata anajibu nini Mzee wa watu
Ndio kumpa tabu kwenyewe sasa hukoMaswali kuhusu zanzibar inabidi awe anakaa kimya tu maana akiyajibu bado italeta shida tu
1. Mahiga alisha wambia mabalozi mambo ya Tanzania waachie watanzania.Mahiga atafanya kazi vizuri sana ila serikali inampa tabu kwenye swala kama la Zanzibar, maswali atakayo ulizwa huko nje sijui hata anajibu nini Mzee wa watu
Hahaha kwa hiyo akiulizwa aseme NO COMMENTMaswali kuhusu zanzibar inabidi awe anakaa kimya tu maana akiyajibu bado italeta shida tu
Usijiaminishe kirahisi hivyo mzee ,na hizi IQ zetu ambazo tunaambiwa ni ndogo akutane na kichwa kama Larry King anampiga swali mwenyewe anajichanganya1. Mahiga alisha wambia mabalozi mambo ya Tanzania waachie watanzania.
2. Pia Jibu la Magufuli analo mfukoni mwake.
3. Kwa uzoefu alio nao naamini aatapatia kuwanyamazisha hawa wakoloni
Ktk mambo ambayo yatampunguzia kazi magufuli ni uchaguzi wa Dr Mahiga kwenye nafasi ya Waziri mambo ya nje
1. Kwanza ana uzoefu kwa maana kwamba hahitaji kusimamiwa .
2. Ni mtu mwenye Busara ktk kutatua matatizo na kuleta magusiano.
3. Sidhani kama atafanya kazi kwa kutaka kujipaisha ili siku moja awe Rais.
4. Ni mtu ambaye Magufuli anaweza kumtuma sehemu yoyote duniani na akafanya kazi nzuri yenye kiwango.
5. Ana uwezo wa kumshauri Rais Magufuli ktk mambo mengi ya kimataifa.
Japo wapo mawaziri wengine ambao si mawaziri wa kusimamiwa lakini Mahiga anaweza kuitangaza Tanzania vizuri pengine kuliko waloo mtangulia kwenye nafasi hii.
Big up Magufuli & Mahiga.