rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 456
Hawa jamaa wamejifumba macho na kuweka pamba masikioni.
Kabisa mkuu. Lowassa tangu akiwa CCM alikuwa anaungwa mkono na Rostam, Chenge, Karamagi etc. Hawa jamaa CCM wako vivuli ila miili yao iko na Lowasa na hata kura watampigia Lowassa. Mbele ya Magufuli hawana meno na biashara zao haramu lazima zidode tu. Wanapambana ili Lowassa achukue nchi waendelee kula kilaini. Mwisho wao umefika.