Watu wa aina hiyo wakichukuliwa hatua za kisheria wanaibuka wanafiki wengine kuwatetea na kuilaumu serikali eti inaminya uhuru wa kujieleza...!!!
Habari za muda huu wanjf
Aliyekuwa mbunge wa moshi vijijini 2005-2015
Dr Cyril Chami anakanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii amabazo zinamchonganisha yeye na Rais Magufuli pamoja na serekali ya Chama cha mapinduzi (CCM) ikumbukwe Chami ni mjumbe wa halmashauri kuu kutoka Wilaya ya Moshi Vijijini
"Mimi sina ubaya wowote na mtu ila kuna watu wameamua kunichafua kwa mategemeo yao ya kisiasa"-Dr Chami
Pia Dr Chami hana account yeyote ya mitandao ya kijamii iwe Facebook,Twitter,hata Instagram
Ni wenu mzalendo
Gilbert Massawe
pigo kwa chadema maana ndio wasambazaji
kina tanzagiza hao na nyumbu wenzake ..walaaniwe.Wanaorusha habari za uongo washughulikiwe tu, hakuna lingine.