jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,323
wahusika naomba mtoe hii post maana jamaa maisha yake yatakuwa hatarini kwa wafuasi wa mudd
Sheria ya Makosa ya Mtandao inakuhusu kwa kuisambaza
Mbona hiyo video imesambaa sana huko social networks zingine.
Na inasemekana sio mara ya kwanza kumtukana mtume wap S.A.W.
So haina haja ya kutolewa acha kumbukumbu iendelee kuwepo for future refenences