Acha ujuha basiHii ndiyo sababu ya ziara ya Zambia? Habari ndiyo hiyo EU kupitia Global Gateway inajenga infrastructure ya kufa mtu kuunganisha nchi za Dr.Kongo na Zambia na Bandari ya Lobito Angola, and guess what Angola hajakodisha Bandari zake hivyo ni profit kwa kwenda mbele, dpworld yenu atasafrisha nini marobota ya pamba?
Soma mwenyewe hapo chini, ni habari ndefu, Namibia kuwa hub kubwa ya uwekezaji wa EU
Opening speech by President von der Leyen at the Global Gateway Forum
Fellow leaders, Excellencies, Distinguished friends, Ladies and Gentlemen, It is a huge honour for us to welcome you all here in Brussels for the very first edition of the Global Gateway Forum. To ourec.europa.eu
Tofaut ya umbali ni kidogo mnoo.Hata wakijenga, Dar Port ndio karibu zaidi na Zambia na DRC kuliko Lobito!.
P
tukikaa vizuri hiyo haitatuathiri kwasababu bidhaa nyingi za hiyo corridor zitatoka ulaya, hazitatoka Asia, zile zinazotoka Asia njia ya Tanzania au kenya ni rahisi zaidi.Hii ndiyo sababu ya ziara ya Zambia? Habari ndiyo hiyo EU kupitia Global Gateway inajenga infrastructure ya kufa mtu kuunganisha nchi za Dr.Kongo na Zambia na Bandari ya Lobito Angola, and guess what Angola hajakodisha Bandari zake hivyo ni profit kwa kwenda mbele, dpworld yenu atasafrisha nini marobota ya pamba?
Soma mwenyewe hapo chini, ni habari ndefu, Namibia kuwa hub kubwa ya uwekezaji wa EU
Opening speech by President von der Leyen at the Global Gateway Forum
Fellow leaders, Excellencies, Distinguished friends, Ladies and Gentlemen, It is a huge honour for us to welcome you all here in Brussels for the very first edition of the Global Gateway Forum. To ourec.europa.eu
Nilikuwa nikimsikia Mwarabu akisema wanalenga kuitwaa Copperbelt Corridor hapo nadhani Mchina lazima atakuna kichwa kidogo.
Atakufa mtu hapo, maana yake mtu afike beiHii ndiyo sababu ya ziara ya Zambia? Habari ndiyo hiyo EU kupitia Global Gateway inajenga infrastructure ya kufa mtu kuunganisha nchi za Dr.Kongo na Zambia na Bandari ya Lobito Angola, and guess what Angola hajakodisha Bandari zake hivyo ni profit kwa kwenda mbele, dpworld yenu atasafrisha nini marobota ya pamba?
Soma mwenyewe hapo chini, ni habari ndefu, Namibia kuwa hub kubwa ya uwekezaji wa EU
Opening speech by President von der Leyen at the Global Gateway Forum
Fellow leaders, Excellencies, Distinguished friends, Ladies and Gentlemen, It is a huge honour for us to welcome you all here in Brussels for the very first edition of the Global Gateway Forum. To ourec.europa.eu
Sasa Tanzania Tuna diplomasia gani we naye kama Punga 🤣🤣Kwenye haya mambo watu wanaangalia vitu vingi sana siyo tu kuwa na corridor,
Umbali, diplamasia za nchi , urahisi wa kutoa mizigo ndio masna mama kawapa hadi eneo lao, usalama wa nchi na kadhalika kwa tanzani tupo very strategic location kuzihudumia hizi nchi kututoa ni ngumu
Muafrika atabakia kuwa ni mtazamaji huku Wazungu Waasia Waarabu wakizoa rasilimali mpaka pale tutakapoanza Manufacturing wenyewe.
Hahaha Hiki ni kitu kizito kwa DP WORLD NA KILIO KWA TANZANIA
Acha ujuha basi
Zambia tayari ana reli yakuiunganisha na bandari za Durban , Richard bay port south africa ,Beira na Maputo na pia ana reli hii ya tazara na bado wqnatumia bandari hii yetu sasa kuanzishwa korido mpya ndio kuue uwekezaji hio ni ndoto ya asubuhi hata sio mchana na reli ya kuunga zambia na congo hii ipo muda mrefu
Sasa kama kuna corido ya kuiunga zambia na Angola hamna shida na pia wala haiwezi kuua uwekezaji wa dp kwa dp ni machampion yaani magwiji ktk hii tasnia wanauwezo wa kushindana na kushine na kuleta mzigo hapa kwetu.
Potential customer wa export wa hayo madini ni China na nchi za asia ambapo mainly bahari ni hii ya hindi huku hizo ports za huko hazipo kiushindani ila ni kimkakati kwa nchi za ulaya kupata hio malighafi ila kwenye viwanda vingi na competitive growth ni huku asia na bahari za huku technically sio threat huweI mzigo wa asia uupeleke bahari ya atlantic ukunje urudi tena huku bahari ya hindi ni expensive and not commercial viable
Wamemrithi Shehe YahyaNdiyo wanaendesha nchi
Huu upuuzi ndo unafanya Tusuendeeleee Wahed mbuzi jike we 🚮🚮🚮🚮🚮🗑️🗑️🗑️Acha ujuha basi
Zambia tayari ana reli yakuiunganisha na bandari za Durban , Richard bay port south africa ,Beira na Maputo na pia ana reli hii ya tazara na bado wqnatumia bandari hii yetu sasa kuanzishwa korido mpya ndio kuue uwekezaji hio ni ndoto ya asubuhi hata sio mchana na reli ya kuunga zambia na congo hii ipo muda mrefu
Sasa kama kuna corido ya kuiunga zambia na Angola hamna shida na pia wala haiwezi kuua uwekezaji wa dp kwa dp ni machampion yaani magwiji ktk hii tasnia wanauwezo wa kushindana na kushine na kuleta mzigo hapa kwetu.
Hiyo Hela imaarishe reli, usafiri WA bararabara sio shindaniKwenye IGA tumemruhusu DP World kuzichukua Transport Corridors na hasa nadhani ni Southern hadi Tunduma na Central hadi Rusumo.
Hizo Barabara zikipigwa Dual Carriage way mambo yatakuwa ni Mswanu sana kwa sisi Madareva wa safari ndefu.
Kama ni kweli this is BIG, swali ni kwamba Volume kubwa ya Mizigo je Infrastructure yetu itahimili?Maono ya DP World mdau wa maendeleo wa Tanzania, CEO Sultan Ahmed bin Sulayem akihutubia Chamwino Dodoma
22 October 2023
Dodoma, Tanzania
Sultan Ahmed bin Sulayem - DP World to inject over US$ 250 million following the successful singing of Concessions to run upgrade the Dar es Salaam port.
View: https://m.youtube.com/watch?v=g2LU6TtSTos
Today marks a special day between Tanzania and DP World. It is a milestone and a significant step working together to upgrade the port of Dar es Salaam to eliminate the delays and make the port of Dar es Salaam a major hub to serve the region for example the copperbelt region in the southern region of this part of Africa.
After a long talks, the government of Tanzania and world giant harbour operator based in Dubai, DP World managed to iron out legal and political issues that were threatening to delay the project.
Sultan Ahmed bin Sulayem outlined DP World to use the Dar es Salaam port geo-strategic location which were recognised by traders centuries ago to trade with hinterlands of Great lakes and southern African region of Africa through Tanzania.
With thousands of kilometers roads and railway networks linking Tanzania with neighbouring countries which brought challenges on how to speed up the port operations and efficiency on handling goods coming in and going out of the harbour so as to meet customer demands who have options to use other ports in the region.
Tanzania being a signatory of The African Continental Free Trade Area (AfCFTA), East African Community and SADC will ease up the movement of goods within this region and Africa at large.
On that note,Tanzania decided to lookout for partners who can run the ports more efficiently and thus DP World came in, and today's singing is ushering the new beginning of Tanzania positioning itself as a major hub for international trade via High seas.
Sultan Ahmed bin Sulayem the Group Chairman and Chief Executive Officer of DP World and the Chairman of the Ports, Customs & Free Zone Corporation said, DP World and Tanzania Ports Authority are looking forward for Dubai port and other major ports around the world to work together with Dar es Salaam port on the ship to ship transhipment and regional logistics business.
Kwani Mbowe anasemaje kamanda?😁aliyekudanganya ni nani? China wana karibia kila malighafi, mwenye uhitaji mkubwa wa malighafi ya kongo ni western world na sababu ni kwamba China anagomea kuuza malighafi zake sababu hata yeye anahitaji malighafi kwa viwanda vyake, hivyo anayehitaji rare earth minerals ni western world na siyo india au sijui pakistani …
Au umeongea kinyume chake?Hiyo Hela imaarishe reli, usafiri WA bararabara sio shindani
Nilikuwa nikimsikia Mwarabu akisema wanalenga kuitwaa Copperbelt Corridor hapo nadhani Mchina lazima atakuna kichwa kidogo.
Muafrika atabakia kuwa ni mtazamaji huku Wazungu Waasia Waarabu wakizoa rasilimali mpaka pale tutakapoanza Manufacturing wenyewe.
Mizigo ya Zambia na DRC inatoka ulaya au Asia(china,Korea, Japan)!?..Kama Asia,wapi ni nafuu economically kati ya dar na Angola?..dar port inahudumia DRC mashariki,hiyo reli inafika DRC mashariki!?umeisoma hiyo link na kuielewa? Wana-connect Dr.Kongo na Zambia na Lobito Atlantic ocean, unaelewa geography ya Atlantic ocean kwenye marine transportation hadi useme kwamba Dar ni karibu? Dar ni karibu na wapi? India au omani? Meli ikitoka Angola Atlantic ocean inakwenda moja kwa moja Western World kuna sababu kwa nini Watumwa walichukuliwa ktk west afrika atlantic ocean kwenda western world na siyo east, wa kutoka kwetu walipelekwa oman, iran na india inaitwa indian ocean …
Viwanda vingapi vilijengea chini ya Tanzania ya viwanda!?..au ndiyo cherehani nne viwanda,blenda tatu kiwanda!?...hiyo Nyerere dam kwa miaka 6 madarakani alifikisha asilimia ngapi huyo mtu wako!?tulishaanza na Tanzania ya viwanda wakapindua meza wameleta fungua nchi, matokeo yake wame sabotage Nyerere dam, SGR ambapo ingetusaidia kwenye transportation nayo wamepiga chini, sasa mashirika yetu yote ambayo yangetusaidia kwenye industrialization wamesema wanayauza wameanza na bandari tanesco infwatia kama bado haijauzwa na ttcl iko mbioni pia, leo hii wanskata umeme kwa masaa 12 sasa ni uchumi gani utajenga hapo?