Double Chance

Double Chance Ni kwamba mkeka wako utawini/utakula ikiwa tu matokeo mawili yakitokea.

Mfano Africain Vs Esperance wanacheza. Hapo kwa haraka haraka unaweza kudhani Esperance atashinda hivyo unataka umpe win.

Lakin pia ukiangalia Head to Head (historia) unagundua kua katika last 5 matches between them, alioko uwanja wa nyumbani huibuka mshindi.

So unataka umpe Esperance, lakin pia huna uhakika kama atashinda. Hapo Ndo unawaza kua anaweza kushinda au kutoa sare. So unataka matokeo yote mawili ya kushinda au sare mkeka wako usichanike.

Double Chance mainly ziko za aina tatu.
1X = Ashinde home au sare
12 = Ashinde home au Ashinde away
X2 = Sare au Ashinde Away
 
Kwa mfano leo nikimpa Parnu Klubi ashinde kabisa na huku kwa Ullen/Kisa ashinde yeyote ODDS 2.42 zinanitosha kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom