Tofauti na nchi zingine zilizoendelea Tanzania kila chama cha upinzani hudharau vyama vingine vyenzao vya upinzani ikiwemo CHADEMA kunahitaji mutual respect kufikia huo umojaIli kuwa na upinzani wenye nguvu inatakiwa kuwe na vyama viwili tu.mfano chama tawala na vyama vyote vya upinzani vikaungana kuunda chama chenye nguvu
Kwa sasa hakuna mutual respect kati ya vyama vya upinzani kila kimoja kinaenda kivyake na agenda zake